Emmathias
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 681
- 958
- Thread starter
- #121
Naomba kuleta mrejesho wa siku ya Leo, nashukru kwa wale ambao wameguswa na tatizo langu na wale ambao wanaleta kejeli Mungu awasamehe. Maana hili jukwaa ni sehemu ya Tiba pia ila baadhi ya watu wanakejeli.
Leo asubuhi nimeenda hospital iliyokaribu yangu, nimepima UTI kama nilivyoshauriwa na ndugu yangu Dallas green. Nimepima mkojo ni msafi, ila dokta akaniandikia dawa inaitwa VIGOMAX FORTE nitumie hiyo kwani itanirejesha kwenye Hali yangu.
Nakalipia kama alivyonielekeza sh 28,000 lakini wakati nikiwa njiani kurudi nyumbani nikaona ngoja niingie JF nione kama Kuna watu walishawahi kutumia hii dawa, nikakutana na post ya mdau analalamika hii dawa kumsababishia matatizo. Hadi saiv nimeogopa hata kuitumia.
Naomba kujua kama Kuna dokta humu, je hiyo dawa nitumie au Ina madhara?