Msaada: Uume kushindwa kusimama

Naomba kuleta mrejesho wa siku ya Leo, nashukru kwa wale ambao wameguswa na tatizo langu na wale ambao wanaleta kejeli Mungu awasamehe. Maana hili jukwaa ni sehemu ya Tiba pia ila baadhi ya watu wanakejeli.

Leo asubuhi nimeenda hospital iliyokaribu yangu, nimepima UTI kama nilivyoshauriwa na ndugu yangu Dallas green. Nimepima mkojo ni msafi, ila dokta akaniandikia dawa inaitwa VIGOMAX FORTE nitumie hiyo kwani itanirejesha kwenye Hali yangu.

Nakalipia kama alivyonielekeza sh 28,000 lakini wakati nikiwa njiani kurudi nyumbani nikaona ngoja niingie JF nione kama Kuna watu walishawahi kutumia hii dawa, nikakutana na post ya mdau analalamika hii dawa kumsababishia matatizo. Hadi saiv nimeogopa hata kuitumia.


Naomba kujua kama Kuna dokta humu, je hiyo dawa nitumie au Ina madhara?
 

Kipindi Cha coronavirus watu wengi waliogopa sana na kuna wengi walitutoka sababu ya Ile hofu.....​

Unaweza ukawa hauna Tatizo kuliwaza sana Tatizo na kukamia sana gemu inaweza leta kuto kujiamini......

Jaribu kula vizuri kabisa protini Kwa wingi maji ya kutosha pia pumzisha mwili pia punguza mawazo na epuka stress

Pia jaribu kutumia sildenafil citrate 50mg kijiboost Ili uone performance itakuaje Ili ujue shida ipo au ni wewe hofu zako...

Namnukuu,​

Franklin D. Roosevelt

"The only Thing you Have to Fear Is just Fear Itself”​

 
Asante mkuu
 
Asante ndugu
 
Mdogo wangu mbona husikii, usitumie hiyo dawaa, please njoo in-box
 
Pambana tafuta toto moja yenye chuchu nzuy, lips Nene, na tako kiasi ndio ulete majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…