Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Nakuelewa sana Emmathias ubaya wa hilo tatizo kadiri unavyowaza ndivyo unavyokuwa ngumu kurudi kuwa sawa. Unaweza jikuta unaichungulia hivi ipo kweli maana kuna time unaweza usihisi kabisa kama ipo hapo ilipo
Baada ya tafiti yangu ya muda mrefu nimekuja kugundua kuna wanawake sio wa kulala nao kabisa.
Na ubaaya au uzuri huwa na wao wanajijua kabisa kuwa wana hilo swala, unakuta binti mzuri ila hajaolewa au hana mambo ya mapenzi sana kumbe anajijua ni mnyonya nguvu.
Kaka Mshana Jr labda utupitishe kwenye hii elimu kama ikiwezekana, tujue hili limekaaje.
Mkuu Emmathias usiwaze kabisa hilo swala wala usilizingatie, fanya kama Mkuu Ambiele Kiviele alivyoshauri hapo kwenye namba nadhani zimpatie akajizolee changamoto 😂😂