Pole sana kaka,
Hii ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume(mana ukosefu wa nguvu za kiume ni kushindwa kisimamisha na kushiriki tendo,
Sasa kama sivyo basi tatizo la kwanza ni hofu,hofu ni mbaya kuliko unavyoweza kufikiri,niliwah kukutana na pisi kali ambayo sikudhani kama ningeweza kuipata,na kila mshkaji wangu wa karibu alinivunja moyo kuwa siwez mpata,ila nilimpata na show nikapewa,ila hofu ilinifanya nishindwe kushiriki kwa zaidi ya saa moja na nilikua mkwel akanipa moyo utani michezo nikamzoea chap tukakiwasha
Naamini tiba asili sana,tafuta anaezifahamu vizuri
Kila la heri,uko kwenye wakati mgumu sana Mungu akusaidie