Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Hayo madawa yanaweza haribu zaidi.....

Atulie na ajipe muda...
 
Acha uongo wew[emoji23]
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Sio tatizo la uume, ni saikolojia zaidi,
Sex inahitaji good state of mind.
 
Angalia isije kuwa kuna mchepuko uliupitia sasa ushakufunga kienyeji.
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Kwani watoto hao uliwapataje tuanzie hapo
 
Mkuu ktk maisha yangu punyeto nimefanya Mara sita tu
Sasa mara sita tu na unapitia hyo hali...wapo walofamya mara hazihesabiki na mashine zao wala......zipo fresh

Wewe cha kufanya
1. Zingatia mlo kamili kama matunda,maji,n.k
2. Mazoezi usisahau
3. Ondoa mawazo mawazo uwe huru na unapoenda kupiga mbunye usiwaze kwamba utashindwa....jipe moyo na jiamini kwamba huyo unamweza...na kikubwa wakat unafanya tendo wazia mambo mengine usiwazie sana wala kukamia shughuli hiyo.
4. Hakikisha mwenza wako unamwandaaa barabara...yaani kwanza ajipige kibao kabla hata wewe hujaweka mashine(mchezee sehem nyegeleshi)..hii itakurahisishia ww kumfikisha panapo bila shida.
Ahsanteni sana
 
Kwa kuwa umeoa wahi kwa waganguzi wa tiba kabla hujapigiwa na boda boda ila ungekuwa bado ningekwambia achana na ume utafute pesa kwanza
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Pamoja na ushauri wa madaktari tafuta pia msaada wa maombi mambo mengine kama haya huwa ni mashambulizi ya kiroho
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Umesema upo Tabora, tafuta mti unaitwa gogondi ni maarufu sana mkoani Tabora, tumiq majani yake kama chai kila mara, ukiweza usiweke sukari, kunywa mara 3 kwa siku, pia wakati wa chakula cha jioni kula ukisindikizia na chai hiyo isiyokuwa na sukari.

Ni majani mazuri yenye uchachu kiasi, pia ukiweza kupata matunda yake hakikisha unakula 2 kwa siku, hasa ukiweza jioni masaa mchache kabla ya kulala.

Ni chakula lishe ambacho kitarekebisha tatizo lako. Utamsugua shemeji vizuri na ataanza kukuandalia mwenyewe.

Usisahau kuleta mrejesho.
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Kama upo tabora nitafute please what's up 0766193034
 
Punguzeni kunywa soda...kunywa maji...fanya mazoezi......acha kula ovyo...kula vyakula vinavyostahili....mkuu acha soda kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…