Msaada: Uume wangu unasimama muda wote haulali

Msaada: Uume wangu unasimama muda wote haulali

Hayo ndio matokeo ya kumeza dawa za electo ili umkomoe demu sasa demu hajaja na boroo limesima kikubwa pambana na hali yako
 
Nilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors please help coz mpaka sasahivi bado hali ni ileile.Ntashukuru
una shida gani...rudi kwa aliyekupa huo mti shamba akaupunguze makali...ha haa
 
Je ukiona papuchi sasa unakuwaje mzee! Si ndio utapasuka kabisa!
 
Back
Top Bottom