Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Its normal wala usiwaze hata Mimi kipind Niko Chuo ilikuwa hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda basi kamfanyie [emoji28]unaitaji massage laiini na kulazwa sehemu tulivu utalala tu
anapatikana wapi halafu twende kule kwetu nina umbea wa hatareNenda basi kamfanyie [emoji28]
hahhhhahhh ndio aseme afatwe kule mbona nipo au kwa mange?anapatikana wapi halafu twende kule kwetu nina umbea wa hatare
njoo tuu unifanyie itakua umenisaidiaanapatikana wapi halafu twende kule kwetu nina umbea wa hatare
haah kweli!Its normal wala usiwaze hata Mimi kipind Niko Chuo ilikuwa hivo
sio wote wanawaza ivoacha kuwaza ngono mda wote
Priapism braza nenda Kwa hospitalAh ah ab ah
SijakuelewaPriapism braza nenda Kwa hospital
Kamsaidie tafadhari!sio vzr mwenzenu ana shida kaja kuomba msaada mwenye kumsaidia aweze alaf nyie mna mkejeri kaka pole sana utapona tu
una shida gani...rudi kwa aliyekupa huo mti shamba akaupunguze makali...ha haaNilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors please help coz mpaka sasahivi bado hali ni ileile.Ntashukuru
Ha ha ha haNguo zako itabidi ziwe zile za kinageria tuu