Msaada: Vifaranga wanaishiwa nguvu miguuni

Mi huwa naona bi mkubwa anawapa maji yenye glucose za kuku zile na wanachangamka haswaa.
 
wana dalili gani hao kuku?kama utaweza tuma picha ili tukushauri vizuri na kwa usahihi
 
Kila la heri ndugu. Ufugaji mwema.
 
Wape mifupa changanyia kwenye chakula chao ni yakusaga na choka na dagaa, na pia chumvi yao ukienda duka la vyakula vya kuku waambie hivyo vitu wanavyo.
pia jaribu kupata msaada wa madoctor wa kuku kama wapo karibu na ww.
pia ukiona hivyo ujue utaendelea kuelewa taratibu maana shart upate changa moto,
pia usikatee tamaa, Alafu achana na tiba za kienyeji utamaliza kuku wooote ukifuata formulor ya kienyeji ni ushauri tuu ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…