Msaada: Vifaranga wanaishiwa nguvu miguuni

Mi huwa naona bi mkubwa anawapa maji yenye glucose za kuku zile na wanachangamka haswaa.
 
Habarini wanaforum.
Naombeni msaada nimefuga vifaranga wa kuku wa kienyeji 75 yapata wiki ya pili sasa.
Ninawatunza kisasa ndani ya chumba maalum nkiwapa huduma zote za kuku wa kisasa.
Sasa wiki iliyopita niliona baadhi yao wameanza shusha vibawa vyao. Nkaenda duka la madawa ya kilimo na mifugo, nkaelezwa na muuzaji niwanunulie Esb3 30% yawezekana wana magonjwa ya tumbo. Nlifanya ivo nkawapa kwa siku tatu kwa kadri nilivyoelezwa, baada ya kumaliza nkaenda kumpa taarifa kua nahisi wanaendelea vizuri, akanishauri pia niwape multivitamin kwa siku tano, nkafanya ivo na leo naandika thread hii ndio siku ya tano,
Lkn kuna utofauti nimeanza kuuona juzi baada ya kifaranga kimoja kuishiwa nguvu za miguu., ikabidi nikitenge, leo tena alfjiri wakati nawabadilishia moto takribani vifaranga 5 navyo havina nguvu kabisa, nimevurugwa nahisi km ntawakosa wote. Naombeni msaada nifanye Nn na tatizo litakua Nn?
Tafadhali wanaforum.

Sent using Jamii Forums mobile app
wana dalili gani hao kuku?kama utaweza tuma picha ili tukushauri vizuri na kwa usahihi
 
Kila la heri ndugu. Ufugaji mwema.
 
Habarini wanaforum.
Naombeni msaada nimefuga vifaranga wa kuku wa kienyeji 75 yapata wiki ya pili sasa.
Ninawatunza kisasa ndani ya chumba maalum nkiwapa huduma zote za kuku wa kisasa.
Sasa wiki iliyopita niliona baadhi yao wameanza shusha vibawa vyao. Nkaenda duka la madawa ya kilimo na mifugo, nkaelezwa na muuzaji niwanunulie Esb3 30% yawezekana wana magonjwa ya tumbo. Nlifanya ivo nkawapa kwa siku tatu kwa kadri nilivyoelezwa, baada ya kumaliza nkaenda kumpa taarifa kua nahisi wanaendelea vizuri, akanishauri pia niwape multivitamin kwa siku tano, nkafanya ivo na leo naandika thread hii ndio siku ya tano,
Lkn kuna utofauti nimeanza kuuona juzi baada ya kifaranga kimoja kuishiwa nguvu za miguu., ikabidi nikitenge, leo tena alfjiri wakati nawabadilishia moto takribani vifaranga 5 navyo havina nguvu kabisa, nimevurugwa nahisi km ntawakosa wote. Naombeni msaada nifanye Nn na tatizo litakua Nn?
Tafadhali wanaforum.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wape mifupa changanyia kwenye chakula chao ni yakusaga na choka na dagaa, na pia chumvi yao ukienda duka la vyakula vya kuku waambie hivyo vitu wanavyo.
pia jaribu kupata msaada wa madoctor wa kuku kama wapo karibu na ww.
pia ukiona hivyo ujue utaendelea kuelewa taratibu maana shart upate changa moto,
pia usikatee tamaa, Alafu achana na tiba za kienyeji utamaliza kuku wooote ukifuata formulor ya kienyeji ni ushauri tuu ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom