Babu sea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 953
- 747
Ninajua mimi sio wa kwanza pengine kuna watu wengine humu mmesha expirience tatitzo kama la kwangu au inawezekana humu kunawataalam wanaoweza kunipa picha kidogo kabla sijaenda hospitali kubwa zaidi ndo maana nimekuja kwenu.
Tatizo langu kubwa ni vijipele vidogovidogo kama vile punje za mchicha vinavyo ota kwa kikundi mduara kama vile mashilingi ya watoto lakini vyenyewe ni miduara midogo kama wa sh50 vinaota nje ya dushe langu.
Kwa kweli vingekuwa utajiri mimi ningeshatajirika, back to topic ni kwamba stage ya kwanza vikiota vinakua haviumi wala havi washi lakini vikikomaa kunakuwa na maumivu kidogo ukivipasua vinaleta maumivu makali sana lakini vikienda vikikauka.
Stage ya pili ni kipindi vikienda vikikauka huleta muwasho mkali sana nahata vikitoweka miwasho iliyokuwepo sehem ile huendelea na baada ya muda huzaliwa kishilingi kingine sehem nyingine.
Hili tatizo lina mwezi wanne hivi sasa nilanzia hospitali ya wilaya nikaambiwa nipime kaswende nikapima nikakutwa sina tatizo nikaenda ya mkoa nako nikapima kaswende wakakuta niko safi ila wakasingizia fangasi hivyo wakanipa cream za kupaka nikaona ndio zinazidisha tatizo badala ya kupunguza nikaachana nazo.
Mpaka sasa nipo njia panda sijui cha kufanya ninahitaji msaada wenu .
NB. VIPELE NA MIWASHO HIYO INATOKEA KWENYE DUSHE TU na si sehem nyingine za mwili.