Msaada - vijipele kwenye dushe

Msaada - vijipele kwenye dushe

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
953
Reaction score
747
Ninajua mimi sio wa kwanza pengine kuna watu wengine humu mmesha expirience tatitzo kama la kwangu au inawezekana humu kunawataalam wanaoweza kunipa picha kidogo kabla sijaenda hospitali kubwa zaidi ndo maana nimekuja kwenu.

Tatizo langu kubwa ni vijipele vidogovidogo kama vile punje za mchicha vinavyo ota kwa kikundi mduara kama vile mashilingi ya watoto lakini vyenyewe ni miduara midogo kama wa sh50 vinaota nje ya dushe langu.

Kwa kweli vingekuwa utajiri mimi ningeshatajirika, back to topic ni kwamba stage ya kwanza vikiota vinakua haviumi wala havi washi lakini vikikomaa kunakuwa na maumivu kidogo ukivipasua vinaleta maumivu makali sana lakini vikienda vikikauka.

Stage ya pili ni kipindi vikienda vikikauka huleta muwasho mkali sana nahata vikitoweka miwasho iliyokuwepo sehem ile huendelea na baada ya muda huzaliwa kishilingi kingine sehem nyingine.

Hili tatizo lina mwezi wanne hivi sasa nilanzia hospitali ya wilaya nikaambiwa nipime kaswende nikapima nikakutwa sina tatizo nikaenda ya mkoa nako nikapima kaswende wakakuta niko safi ila wakasingizia fangasi hivyo wakanipa cream za kupaka nikaona ndio zinazidisha tatizo badala ya kupunguza nikaachana nazo.

Mpaka sasa nipo njia panda sijui cha kufanya ninahitaji msaada wenu .

NB. VIPELE NA MIWASHO HIYO INATOKEA KWENYE DUSHE TU na si sehem nyingine za mwili.
 
pole sana ila ulijamiana ndio tatizo likaanza hope nipo sawa hapo.
 
NB. VIPELE NA MIWASHO HIYO INATOKEA KWENYE DUSHE TU na si sehem nyingine za mwili.

Iyo itakuwa Herpes simplex-2 , ni ugonjwa unaoletwa na virus ambavyo viko vya aina mbili , herpes virus Type-1 (vyenyewe hushambulia maeneoya mdomo hadi ndani ya koo) na herpes virus Type- 2 (vyenyewe hushambulia haswa sehemu za siri ). Dalili zake ni kuanza kwa muwasho sehemu husika na siku ya pili vipele huanza kutokea.

Cha muhimu kapime huo ugonjwa kabla hujaanza kutumia dawa zake za kupunguza makali ya huo ugonjwa.
 
Ukishapata matibabu angalia pia uvaaji wa ngua zako za ndani.
usivae za kubana
usivae za nylon
 
Jamani sorry mm cjui kupost naomba nisaidieni nijue maana nna tatzo na mm
 
Nna vipele ukeni vya wastani vina mwezi na nusu sasa haviwashi,haviumi,havitoi harufu yyte ni vigumu sana,havitunggi usaha,ukivitoboa vinatoa damu tu....nmeenda hosptal nmepewa dawa za kupaka skineal,candiderm,na sonaderm na nyingine ya kunywA imeandikwa askifulvin zote nmeztumia nyakati tofauti lakini hazijaniletea afadhali yyte cijui nifanyaje ushauri wenu tafadhali
 
Unahisi vilitokea vyenyewe au sababu ya ngono??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nna vipele ukeni vya wastani vina mwezi na nusu sasa haviwashi,haviumi,havitoi harufu yyte ni vigumu sana,havitunggi usaha,ukivitoboa vinatoa damu tu....nmeenda hosptal nmepewa dawa za kupaka skineal,candiderm,na sonaderm na nyingine ya kunywA imeandikwa askifulvin zote nmeztumia nyakati tofauti lakini hazijaniletea afadhali yyte cijui nifanyaje ushauri wenu tafadhali

muonekane wa hivo vipele ni kama visunzua ama? maana kuna ugonjwa unaitwa Genital warts wenyewe unapata vinundu nundu vigumu sehemu za siri pia .
 
hivo vipele vinafanya malengelenge?vinamuonekano kama huu?
vipele.jpgvipele 2.jpg
 
Iyo itakuwa Herpes simplex-2 , ni ugonjwa unaoletwa na virus ambavyo viko vya aina mbili , herpes virus Type-1 (vyenyewe hushambulia maeneoya mdomo hadi ndani ya koo) na herpes virus Type- 2 (vyenyewe hushambulia haswa sehemu za siri ). Dalili zake ni kuanza kwa muwasho sehemu husika na siku ya pili vipele huanza kutokea.

Cha muhimu kapime huo ugonjwa kabla hujaanza kutumia dawa zake za kupunguza makali ya huo ugonjwa.

nashkuru sana mkuu je huo ugonjwa unasababishwa na nini.
 
Unasabisha na virus, ila unasambazwa kwa kuchangia vitu kama viwembe, nguo za ndani, taulo, ngono. na mara nyingi hutokea kwenye shina la uume ,kwenye mapaja, hata kwenye makalio na pembeni mwa uke.
 
vya kwangu vipo kwenye kichwa cha dushe kwa chini yake.
 
Back
Top Bottom