Msaada vipele ukeni

Msaada vipele ukeni

luisajr

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
270
Reaction score
85
Nimetokwa na vipele vigumu ukeni,havitungi usaha,haviwashi,haviumi wala chochote ..

Nimetumia tube ya candiderm,sonaderm,skineal lakini hamna maendeleo nmekunywa dawa ya fangasi lakini pia haisaidii nninavo takribani miezi miwili sasa nisaidieni jamani tafadhali msinipite nipeni msaada.
 
Ndugu hivyo si vipele ni genital warts (sundo sundo) unaweza kutumia vitamin e pure oil itachukua muda wa mwezi kuisha. Na pia lazima unywe multivitamins zinazo support immune system. Kama hukupata vit e oil tafufa apple cider vinegar uwe unapakaa havitachukua muda.
 
Shukran kwakutoa msaada kwahuyu bint,jf raha sana
Ndugu hivyo si vipele ni genital warts (sundo sundo) unaweza kutumia vitamin e pure oil itachukua muda wa mwezi kuisha. Na pia lazima unywe multivitamins zinazo support immune system. Kama hukupata vit e oil tafufa apple cider vinegar uwe unapakaa havitachukua muda.
 
Usijali binadamu kushauriana mm niliwahi kupata tatizo km hilo
 
Ndugu hivyo si vipele ni genital warts (sundo sundo) unaweza kutumia vitamin e pure oil itachukua muda wa mwezi kuisha. Na pia lazima unywe multivitamins zinazo support immune system. Kama hukupata vit e oil tafufa apple cider vinegar uwe unapakaa havitachukua muda.

vinegar ya kawaida haisaidii!
 
Ndugu hivyo si vipele ni genital warts (sundo sundo) unaweza kutumia vitamin e pure oil itachukua muda wa mwezi kuisha. Na pia lazima unywe multivitamins zinazo support immune system. Kama hukupata vit e oil tafufa apple cider vinegar uwe unapakaa havitachukua muda.

Asante dada vinapatikana wapi hzo dawa na shingap?
 
Ndugu hivyo si vipele ni genital warts (sundo sundo) unaweza kutumia vitamin e pure oil itachukua muda wa mwezi kuisha. Na pia lazima unywe multivitamins zinazo support immune system. Kama hukupata vit e oil tafufa apple cider vinegar uwe unapakaa havitachukua muda.
Ni ipi kati ya hizo
 
Attachments

  • 1402049511688.jpg
    1402049511688.jpg
    51.7 KB · Views: 950
Kwa Tz sijui bei yake lkn sehemu ninayoishi mm kwa pesa za kwenu ni km elf 40. Ikiwa haikupatikana tumia tu vinegar utaona matokeo.
 
iyo vinegar unapaka au unakunywa??
 
Vinegar unapaka kwenye warts mpaka upone. Ukubwa wa warts utakuwa unapungua siku baada ya siku.
 
Back
Top Bottom