Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000.

1. Diwani ya Mnyampala
2. Kisa cha mrina asali na wenzake wawili.
3. Historia, mila na desturi za wagogo wa Tanganyika.
 
Pia kikipatikana na siku ya watenzi wote cha Shaaban Robert.
 
Back
Top Bottom