Msaada Vitafunwa sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Wakuu nauliza vitafunwa vipi sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo,atumie vitanwa Gani kwa ajili ya chai
 
Uji wa dona, ulezi au mahindi uwe na limao kiasi.

Mayai ya kuchemsha, (kizungu au kienyeji ni sawa)

Mkate mweupe.

Chapati, lakini isiwe na mafuta mengi.
 
Samaki,Kuku ila Kuku unaitoa ngozi yake,kula Yogurt
Matunda hasa Apples kula whole grains hupunguza stomach acid,usitumie Pilipili kabisa,
Tumia pia carrots,potatoes na vagetables zaidi,penda kutumia mafuta ya Olive kwenye mapishi,kama unatumia Pombe acha kabisa,usitumie vyakula vya kukaanga ''Fried foods" coz vina high fat na vigumu kudigest,

Kwa uchache anzia hapo Mkuu.
 
Mafuta ya nazi je
 
Kitafunwa Cha chai kama kipi nitumie
 
KAMA NI KWELI UMEKWENDA HOSPITAL UMETHIBITISHA KWA ENDOSCOPY AU ODD.

Achana na Mikojo achana na upumbavu wote, maji ya moto nk.

Mtafute mtu Aliyepo Tanga Wilaya ya Lushoto Kijiji cha Soni.
Kuna Mtaalam mmoja anaitwa Chakua Chakua amespecialise kwenye matibabu ya Tumbo na Hasa vidonda vya Tumbo.

Anapatikana sana Mnadani na ni mtu maarufu sana anapatikana siku ya Jumanne na Ijumaa If am not mistaken. Mimi nilipona kwa Msaada wake.
Kuna dawa ya 5000/=
Dawa ya Tsh 30000/=
UTACHAGUA MWENYEWE.
KUPANGA NI KUCHAGUA
 
Kunywa supu ya bamia asubui kabla hujala kitu na jioni kabla ya kulala.

piga tramadol, amoxicillin, Omeprazole ndani ya wiki una kaa sawa
 
Samaki,Kuku ila Kuku unaitoa ngozi yake,kula Yogurt
Matunda hasa Apples kula whole grains hupunguza stomach acid,usitumie Pilipili kabisa,
Tumia pia carrots,potatoes na vagetables zaidi,penda kutumia mafuta ya Olive kwenye mapishi,kama unatumia Pombe acha kabisa,usitumie vyakula vya kukaanga ''Fried foods" coz vina high fat na vigumu kudigest,

Kwa uchache anzia hapo Mkuu.
Hivi korosho zinaruhusiwa kwa mtu wamadonda ya tumbo
 
Back
Top Bottom