Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malila tafadhali pita hapa umsaidie mkuu hapa
Mleta uzi pia unaweza kucheki hapa kwenye comments za mwishoni
Ukulima wa vitunguu
Ushauri wa kawaida ni kutumia dawa ya kuua wadudu, issue ni dawa gani atumie. Nimemtwangia mtalaamu wangu mmoja ili aniambie dawa sahihi, maana dawa nyingine haziishi shambani, ni hatari hata kwa viumbe wengine.
Asante kwa kunishirikisha. Nikipata majibu sahihi, nitampa simu kwa pm na mengine nitaweka hapa.