Msaada: Vitunguu vinaliwa na Panzi.

Msaada: Vitunguu vinaliwa na Panzi.

mnyongeni

Senior Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
141
Reaction score
24
Habari, wanabodi. Nimepanda vitunguu muda si mrefu (kama two weeks hivi) tatizo Ninakabiliwa na uvamizi wa panzi shambani. Wanakula sana majani ya vitunguu. Nifanyeje au Nitumie dawa gani? Msaada wa haraka please.
 
Malila tafadhali pita hapa umsaidie mkuu hapa

Mleta uzi pia unaweza kucheki hapa kwenye comments za mwishoni
Ukulima wa vitunguu

Ushauri wa kawaida ni kutumia dawa ya kuua wadudu, issue ni dawa gani atumie. Nimemtwangia mtalaamu wangu mmoja ili aniambie dawa sahihi, maana dawa nyingine haziishi shambani, ni hatari hata kwa viumbe wengine.

Asante kwa kunishirikisha. Nikipata majibu sahihi, nitampa simu kwa pm na mengine nitaweka hapa.
 
Tunashukuru na Mungu akubariki kwa juhudi zako katika hili jukwaa.Mkuu mnyongeni kazi kwako taarifa zitakuja
 
Last edited by a moderator:
Natumai katika hilo mkuu xfactor maana jamaa wanamaliza mazao yangu shambani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mnyongeni tumia dawa aina ya callet. Piga dawa asubuhi kabla panzi hawajaanza kushambulia au jioni.
Kwa kipimo cha nusu litre kinatosheleza sana kwenye ukubwa wa ekari1 mpaka kipindi utakachoona panzi hawashambulii sana.
 
Last edited by a moderator:
Tuko pamoja mkuu mnyongeni.
Hakikisha unapiga dawa asbuhi kabla panzi hawajapata nguvu ya kurusha mbawa zao. Ukikosa hiyo niliyotaja hapo juu tumia hata Thionex pia inaua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom