Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

Wakati wa Majanga tunahitajika kuweka kwa wingi vyakula vilivyo tiyari kwa kuliwa na viwe ni vile vya kutupatia nguvu kwa wingi.

Bahati mbaya sisi hatuna Vyakula vilivo tiyari sana tuna Unhmga au mahindi au michele.

Wakati wa Majanga Gesi au umeme unaweza usipatikane utafanyaje? Utakula wali mbichi?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa Majanga sabuni za nini? Baadae utadai na Lotion na Cream za kujipaka za kutosha, inaonekana wewe ni wa Dar.

Majanga mkuu kinacho bakia huwa ni means ya Kusurvive, yaanu mtu asife, hizo sabuni ni Chakula?
Cartoon za sabuni kutegemeana na size ya familia.
Mafuta ya kupikia.
Akiba ya maji ya kutosha n.k


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kaanga hata Karanga za kutosha ukahifadhi, Ukakaanga Mahindi ukahifadhi, Hivi ni vya kutumia last time endapo sasa sokoni hakuendeki wala nini.

Kama ni nyama zikaange uzikaushe ziwe ni za kula tu,

Vitu kama Biscut ni za mihimu sana, Maji ya kutosha yaani maji ndo yawe mengi tena ya kuhifadhi kwenye matenki.

Swali langu linajikita zaidi kwa siye tulio hali ya kati na chini ambao hatujazoea kuhifadhi vyakula. Kuna wengi hatujui vyakula gani ni muhimu kuhifadhi na visivyoharibika haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeme unakuta umekatwa, maji yamekatwa, unafanyaje na hiyo fridge yako?

Majanga kumbuka kuna Man made na Natural sasa chukulia ni wakati wa vita kali sana kuna Maandamano na uasi mkubwa sana
Mchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vyakula: unga wa sembe, ngano, mchele, tambi/spagheti, dagaa wakavu, maziwa ya unga, magimbi, maharage na kunde.

Chochote katika hivyo unaweza kununua kwa wingi 7bu vinaweza kukaa zaidi ya mwezi bila kuharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa Majanga sabuni za nini? Baadae utadai na Lotion na Cream za kujipaka za kutosha, inaonekana wewe ni wa Dar.

Majanga mkuu kinacho bakia huwa ni means ya Kusurvive, yaanu mtu asife, hizo sabuni ni Chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app


Maelezo yako ni mazuri sana lakini hayo yanaweza kufanyika pale ambapo janga limekuwa la gafla kama vile vita n.k

Lakini kwa swala hili la Corona yaweza kuwa tofauti na janga la vita n.k.

Actually hata kama ingekuwa ni vita kwa mfano Mungu atuepushie mbali isijetokea kamwe lakini bado kuna mazingira yakuweza ku predict kifuatacho ITV!

Sasa kama mtu anaweza kujiandaa akajiwekea akiba ya vyakula na mahitaji muhimu kwaajili ya familia ikibidi na ndugu na majirani wa karibu kwanini asifanye hivyo?

Eti huenda umeme ukakatika na kukawepo na milipuko ya gas, hayo yakotokea inakuwa bahati mbaya lakini haiwezekani watu washindwe kujiwekea akiba!

We have to think positive first!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyehaki wa Mungu siku zote ameagizwa kuishi kwa Imani yaani kuwa na hakika ya yale anayoyatarajia na kuyaona kwa uwazi yale anayotarajia kabla ya kutukia!

Hivyo pamoja na provisions ambazo tunaweza kuzifanya lakini hatuachi kujiwekea akiba kwa kadiri iwezekanavyo!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia nzuri sana hii,ndo mi nafanya,mboga za majani zote,mnafu ,mchicha,kisamvu ,etc unazipika na kuziweka kwenye mifuko midogo unagandisha tu,the same hata nyama pia
Mchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Actually tunaomba isitokee lakini ikitokea tutakuwa tunakula milo 2 badala ya mitatu kwa siku!

Sababu hatutaweza kujua hiyo lockdown itachukua muda gani kuisha kabla ya chakula kuisha!

Tutakuwa kama wazaramo [emoji3][emoji3]

Kifunguankinywa saa 5-6 na mlo mwingine saa 10-11 jioni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Nunua maharage/njegere chemsha kiasi funga weka kwenye friji.
2. Nunua mchele weka ndani.
3. Unga wa mahindi.
4. Unga wa ngano
5. Dagaa/ samaki wakavu wa aina unayopenda
6.Mafuta ya kupikia
7. Gas ya kupikia
8. Sukari.
9. Chumvi
10. Maziwa ya unga
11. Viazi mviringo/ndizi
12. Nyanya sadolin moja + vitunguu + other spices
13. Nyama chesha kiasi ifunge nyingine weka kwenye freezer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangawizi na vitunguu saum muhimu sana make inaongeza kinga ya mwili.Pia condom muhim kuepuka mimba zisizotarajiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaaaa hapo umenena kabisa, kipindi hiki tusahau huo upande kabisa. Vile watu wapo majumbani ni rahisi zaidi kufanya ngono zembe. Hasa tuwe makini na vijana wetu.
 
Kwa wale wenye kula organic foods tafadhali naomba mnisaidie namna nzuri ya kutunza nafaka bila madawa ili zisiliwe na wadudu


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mifuko yakinga njaa hiyo ndio kazi yake kwamaeneo mengi inapatkana kwabei ya 5000 itafte hyo inahfadhi kias had debe sita ipo iliyoandikwa PICS na ina nyron mbili kwa ndani hiyo ni. Mizur zaid kama utahtaj ming ni pm tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom