Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Toa..unga wa ngano, vitunguu maji..unga wanugali..life span yake haizidi six months mostly two to three monthsm..labda mahindi na si ungaMchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.