BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Cartoon za sabuni kutegemeana na size ya familia.
Mafuta ya kupikia.
Akiba ya maji ya kutosha n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
kaanga uketo[mahingi ya kukaanga] hii itakusaidia sana
Swali langu linajikita zaidi kwa siye tulio hali ya kati na chini ambao hatujazoea kuhifadhi vyakula. Kuna wengi hatujui vyakula gani ni muhimu kuhifadhi na visivyoharibika haraka.
Mchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.
Duh umewaza mbali, kunatisha naamini hatutofika huko.Hii ni sawa, wakati wa manja unapaswa kuwa na vitu vilivyo tiyali kwa kuliwa. Hizo Gesi na umeme vipi mabwawa yakulipuka au wafanyakazi wote wa Umeme wamekufa au wasambaza gesi hawapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh umewaza mbali, kunatisha naamini hatutofika huko.
Wakati wa Majanga sabuni za nini? Baadae utadai na Lotion na Cream za kujipaka za kutosha, inaonekana wewe ni wa Dar.
Majanga mkuu kinacho bakia huwa ni means ya Kusurvive, yaanu mtu asife, hizo sabuni ni Chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.
Swali langu linajikita zaidi kwa siye tulio hali ya kati na chini ambao hatujazoea kuhifadhi vyakula. Kuna wengi hatujui vyakula gani ni muhimu kuhifadhi na visivyoharibika haraka.
Haswaaaaa hapo umenena kabisa, kipindi hiki tusahau huo upande kabisa. Vile watu wapo majumbani ni rahisi zaidi kufanya ngono zembe. Hasa tuwe makini na vijana wetu.Tangawizi na vitunguu saum muhimu sana make inaongeza kinga ya mwili.Pia condom muhim kuepuka mimba zisizotarajiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mifuko yakinga njaa hiyo ndio kazi yake kwamaeneo mengi inapatkana kwabei ya 5000 itafte hyo inahfadhi kias had debe sita ipo iliyoandikwa PICS na ina nyron mbili kwa ndani hiyo ni. Mizur zaid kama utahtaj ming ni pm tuyajengeKwa wale wenye kula organic foods tafadhali naomba mnisaidie namna nzuri ya kutunza nafaka bila madawa ili zisiliwe na wadudu
Sent using Jamii Forums mobile app