Toa..unga wa ngano, vitunguu maji..unga wanugali..life span yake haizidi six months mostly two to three monthsm..labda mahindi na si ungaMchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.
So tuweke corn flakes?Hiii sawa, wakati wa manja unapaswa kuwa na vitu vilivyo tiyali kwa kuliwa. Hizo Gesi na umeme vipi mabwawa yakulipuka au wafanyakazi wote wa Umeme wamekufa au wasambaza gesi hawapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mifuko yakinga njaa hiyo ndio kazi yake kwamaeneo mengi inapatkana kwabei ya 5000 itafte hyo inahfadhi kias had debe sita ipo iliyoandikwa PICS na ina nyron mbili kwa ndani hiyo ni. Mizur zaid kama utahtaj ming ni pm tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wenye kula organic foods tafadhali naomba mnisaidie namna nzuri ya kutunza nafaka bila madawa ili zisiliwe na wadudu
Sent using Jamii Forums mobile app