sio kila homa ni malaria mkuuSina uhakika kama ni magojwa ya zinaa igawa nilienda duka la madawa wakanipa dawa za magonjwa ya zinaa.
Rafiki sirudiangi nguo siku mbiliulipata wapi ujasiri wa kujipaka ndimu huko we jamaa!!![emoji20][emoji20]
ushauri mwingine muwe mnafikiria kwanza, kulingana na maelezo yako hapo either ni uchafu au infections,
nenda hospitali waone madaktari wa ngozi, halafu chunguza mazingira yanayoizunguka ndizi yako chief hasa nguo za ndani...
hizi ofisi zetu ndio zinatupa heshima ya kuitwa Mwanaume, ipende...itunze...ijari...
Km sura inakunjika ukilamba limao na sehem za siri pia inajikunjikaUkiweka Limao mdomon lazima ukunje sura, je huko sehemu za siri zinakuwaje? .
Kingine dawa ya Limao kupaka imetolewa humu humu JF kwa hiyo kuna watesaji humu JF
Ndugu uende kwenye duka la madawa kuchukua dawa za magonjwa ya zinaa hospital ulienda kupima unaogopa nini?.
Tumia dawa inaitwa ''DEZOR" inauzwa elfu Kumi ila ni nzuri sana mkuu, Ni dawa ya kupaka, ,Za muda huu wadau nianze kwa kusema kuwa nina muda mrefu sijafanya mapenzi ila siku chache nilianza kama kuwasha sehemu za siri.
Basi nikaambiwa nikipataka limao muwasho utaisha maana hiyo ni fangansi nilitumia limao kama siku tatu lakini nikaanza kuhisi kama viupele na mchumbuko ila juzi ngozi ikaanza kujaza maji kama ngozi ya kuungua kwa moto.
Sina uhakika kama ni magojwa ya zinaa igawa nilienda duka la madawa wakanipa dawa za magonjwa ya zinaa mwenye uzoefu tafadhari anisaidie.
Matatizo mengi ya uzazi na maeneno yake kwa wanaume yanachangiwa na aibu ya kwenda hospitali.
Kiongozi nenda hospitali, omba kuonana na Dr. wa magonjwa ya ngozi. Hawa ndiyo mabingwa wa magonjwa ya zinaa.