Msaada wa afya: Uume wangu unachunika ngozi kama imeungua

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,741
Za muda huu wadau nianze kwa kusema kuwa nina muda mrefu sijafanya mapenzi ila siku chache nilianza kama kuwasha sehemu za siri.

Basi nikaambiwa nikipataka limao muwasho utaisha maana hiyo ni fangansi nilitumia limao kama siku tatu lakini nikaanza kuhisi kama viupele na mchumbuko ila juzi ngozi ikaanza kujaza maji kama ngozi ya kuungua kwa moto.

Sina uhakika kama ni magojwa ya zinaa igawa nilienda duka la madawa wakanipa dawa za magonjwa ya zinaa mwenye uzoefu tafadhari anisaidie.
 
Pagumu hapo ila kosa ulilofanya ni kuweka ndimu kwenye ngozi raini umetengeza kitu kipya usihangaike muone bingwa wa magonjwa ya ngozi atatatua hilo tatizo
 
Poa
 
ulipata wapi ujasiri wa kujipaka ndimu huko we jamaa!!![emoji20][emoji20]

ushauri mwingine muwe mnafikiria kwanza, kulingana na maelezo yako hapo either ni uchafu au infections,

nenda hospitali waone madaktari wa ngozi, halafu chunguza mazingira yanayoizunguka ndizi yako chief hasa nguo za ndani...

hizi ofisi zetu ndio zinatupa heshima ya kuitwa Mwanaume, ipende...itunze...ijari...
 
Rafiki sirudiangi nguo siku mbili
 
Matatizo mengi ya uzazi na maeneno yake kwa wanaume yanachangiwa na aibu ya kwenda hospitali.

Kiongozi nenda hospitali, omba kuonana na Dr. wa magonjwa ya ngozi. Hawa ndiyo mabingwa wa magonjwa ya zinaa.
 
Ukiweka Limao mdomon lazima ukunje sura, je huko sehemu za siri zinakuwaje? .
Kingine dawa ya Limao kupaka imetolewa humu humu JF kwa hiyo kuna watesaji humu JF
Ndugu uende kwenye duka la madawa kuchukua dawa za magonjwa ya zinaa hospital ulienda kupima unaogopa nini?.
 
Km sura inakunjika ukilamba limao na sehem za siri pia inajikunjika
 
Za muda huu wadau nianze kwa kusema kuwa nina muda mrefu sijafanya mapenzi ila siku chache nilianza kama kuwasha sehemu za siri.

Basi nikaambiwa nikipataka limao muwasho utaisha maana hiyo ni fangansi nilitumia limao kama siku tatu lakini nikaanza kuhisi kama viupele na mchumbuko ila juzi ngozi ikaanza kujaza maji kama ngozi ya kuungua kwa moto.

Sina uhakika kama ni magojwa ya zinaa igawa nilienda duka la madawa wakanipa dawa za magonjwa ya zinaa mwenye uzoefu tafadhari anisaidie.
Tumia dawa inaitwa ''DEZOR" inauzwa elfu Kumi ila ni nzuri sana mkuu, Ni dawa ya kupaka, ,
 
Matatizo mengi ya uzazi na maeneno yake kwa wanaume yanachangiwa na aibu ya kwenda hospitali.

Kiongozi nenda hospitali, omba kuonana na Dr. wa magonjwa ya ngozi. Hawa ndiyo mabingwa wa magonjwa ya zinaa.

Umenichanganya mkuu, madaktari wa ngozi ndio mabingwa wa magonjwa ya zinaa?
 
  • Thanks
Reactions: lup
Tatizo mnachomeka na kuchomoa bila hata kulisafisha hill punda ukeni kuna mambo mengi
 
Back
Top Bottom