lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,741
Za muda huu wadau nianze kwa kusema kuwa nina muda mrefu sijafanya mapenzi ila siku chache nilianza kama kuwasha sehemu za siri.
Basi nikaambiwa nikipataka limao muwasho utaisha maana hiyo ni fangansi nilitumia limao kama siku tatu lakini nikaanza kuhisi kama viupele na mchumbuko ila juzi ngozi ikaanza kujaza maji kama ngozi ya kuungua kwa moto.
Sina uhakika kama ni magojwa ya zinaa igawa nilienda duka la madawa wakanipa dawa za magonjwa ya zinaa mwenye uzoefu tafadhari anisaidie.