Nemes johnson
Member
- Feb 24, 2017
- 35
- 11
Ahsante nduguRoho imeniuma sana...kila la kheri mungu atakusaidia
Sawa ndugu na ubarikiweduuuuuh dah wengine tunakimbia xkul japo ada ipo wengne wanakosa ada mungu akusaidie
Sawa ahsante kwa ushauli wako kakaMdogo wangu endelea kupambana utafanikiwa. Pamoja na kutafuta kazi ya kuajiriwa pia uwe unafikiria namna ya kujiajiri mwenyewe
Upo wapi?
Ok sawaa kwenye maelezo yako pale edit uandike upo dar umu wanapita watu wengi wanaweza kukusaidia itawapa urahisi wajue namna ya kukusaidia
Sawa mkuuuOk sawaa kwenye maelezo yako pale edit uandike upo dar umu wanapita watu wengi wanaweza kukusaidia itawapa urahisi wajue namna ya kukusaidia
Ahsante ndugu nawe mungu akuongoze masomonidaah sisi maskini tuende wapiiiii
Ukipata kibarua komaa ndugu yangu
Nimemwaga zege apa dar mwaka na miezi richa ya kufaulu olevel na advance saiz ndo natarajia niende Chuo kwa hiki kidg nlichopata so kila laheri sana ndgu yangu Mungu akutangulie
Sent using Jamii Forums mobile app
daah sisi maskini tuende wapiiiii
Ukipata kibarua komaa ndugu yangu
Nimemwaga zege apa dar mwaka na miezi richa ya kufaulu olevel na advance saiz ndo natarajia niende Chuo kwa hiki kidg nlichopata so kila laheri sana ndgu yangu Mungu akutangulie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeumia mdogo wangu nitaangalia namna ya kukusaidiaMm ni kijana wa miaka 19 nimehitimu kidato cha nne 2016 nmebahatika kupata division 3 Ila kipato cha nyumban nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano
Ila nilikua naomba msaada wa kupata ajira ili niweze kujiendeleza kimasomo binafsi na Nina uwezo was kufanya Nazi kwenye mazingira yoyote napatikana DAR ES SALAAM MTAA WA MWANANYAMALA
Namba zangu 0714489657
Kama kwel una nia ya kunisaidia nisaidie
NB:
No one know tommrow
Sent using Jamii Forums mobile app