MSAADA WA AJIRA

MSAADA WA AJIRA

Nemes johnson

Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
35
Reaction score
11
Mm ni kijana wa miaka 19 nimehitimu kidato cha nne 2016 nmebahatika kupata division 3 Ila kipato cha nyumban nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano
Ila nilikua naomba msaada wa kupata ajira ili niweze kujiendeleza kimasomo binafsi na Nina uwezo was kufanya Nazi kwenye mazingira yoyote napatikana DAR ES SALAAM MTAA WA MWANANYAMALA
Namba zangu 0714489657
Kama kwel una nia ya kunisaidia nisaidie
NB:
No one know tommrow
fb3cb51d937d4ac30e13cf25d86945d1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuuuuh dah wengine tunakimbia xkul japo ada ipo wengne wanakosa ada mungu akusaidie
 
Mdogo wangu endelea kupambana utafanikiwa. Pamoja na kutafuta kazi ya kuajiriwa pia uwe unafikiria namna ya kujiajiri mwenyewe
 
daah sisi maskini tuende wapiiiii
Ukipata kibarua komaa ndugu yangu
Nimemwaga zege apa dar mwaka na miezi richa ya kufaulu olevel na advance saiz ndo natarajia niende Chuo kwa hiki kidg nlichopata so kila laheri sana ndgu yangu Mungu akutangulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daah sisi maskini tuende wapiiiii
Ukipata kibarua komaa ndugu yangu
Nimemwaga zege apa dar mwaka na miezi richa ya kufaulu olevel na advance saiz ndo natarajia niende Chuo kwa hiki kidg nlichopata so kila laheri sana ndgu yangu Mungu akutangulie

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante ndugu nawe mungu akuongoze masomoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo unataka ukasomee nini mkuu
daah sisi maskini tuende wapiiiii
Ukipata kibarua komaa ndugu yangu
Nimemwaga zege apa dar mwaka na miezi richa ya kufaulu olevel na advance saiz ndo natarajia niende Chuo kwa hiki kidg nlichopata so kila laheri sana ndgu yangu Mungu akutangulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm ni kijana wa miaka 19 nimehitimu kidato cha nne 2016 nmebahatika kupata division 3 Ila kipato cha nyumban nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano
Ila nilikua naomba msaada wa kupata ajira ili niweze kujiendeleza kimasomo binafsi na Nina uwezo was kufanya Nazi kwenye mazingira yoyote napatikana DAR ES SALAAM MTAA WA MWANANYAMALA
Namba zangu 0714489657
Kama kwel una nia ya kunisaidia nisaidie
NB:
No one know tommrow
fb3cb51d937d4ac30e13cf25d86945d1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeumia mdogo wangu nitaangalia namna ya kukusaidia

Nyagei
 
Mungu atasaidia utatimiza haja ya moyo wako, ila nakusahuri kupata mtu wa kukusomesha kozi za afya ni ngumu maana ni gharama sana ila kama anaweza jitokeza mfadhiri wa kukulipia short course ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi inayotolewa na DIT branch ya mwanza kwa muda wa miezi 2 ada yake ni 150000, kwa hy ukipata mfadhiri wa kuweza kukulipia ada na gharama za hostel pamoja na chakula itasaidia maana utaweza kujiajiri au kuajiriwa kwa urahisi kwenye viwanda vidogo vya kutengeneza bidhaa za ngozi na kupata kipato chako halali, Vigezo vya kujiunga ni elimu ya darasa la saba.
Kila la kheri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom