Msaada wa anayejua boarding school nzuri - primary

Msaada wa anayejua boarding school nzuri - primary

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
241
Reaction score
174
Wakuu wana JF, Hi.

Tafadhali naomba msaada wenu wa mtu anayeifahamu primary school nzuri ya boarding kwa ajili ya watoto wa kike, na inazingatia maadili ya kuwalea watoto vema basi naomba mnisaidie kunijuza juu ya hilo wakuu.

Kwa kuzingatia ukaribu wa kwenda kumuona mtoto, interest yangu ipo ktk mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, na Morogoro.

Kama kuna yeyote anyefahamu basi naomba msaada juu ya hilo ili nimpeleke binti yangu.

Asante.
 
Jaribu Feza..Girls Dar au jaribu Ephifania Bagamoyo!!
 
mimi siwezi peleka mtoto wangu wa primary boarding school:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty:
 
Inategemea mtoto mwenye umri gani, na ni kiasi gani wataka kutoa. Boarding zina both uzuri na ubaya wake! Naipenda East Africa International school kwa sababu zifuatazo:-
1. Idadi ya wanafunzi si kubwa both hostel na darasani
2. Ada iko fair ukilinganisha na other international (sio English medium) schools
3. Watoto hawako gerezani kwani wewe au ndugu aliyekuwa authorized aweza mchukua mtoto everyweekend
4. Malezi, michezo viki well supervised (idadi ya wanafunzi kuwa ndogo)
5. Not more than 20 pupil in a class
6. Somo la kuogelea etc
 
iringa international school ni nzuri,japo ni ghali kidogo
 
Nina imani mdau una sababu za msingi za kumpeleka mtoto boarding. Na samahani kwa kuwa ninaenda nje ya mada kwa kuwa hukuomba tukushauri umpeleke au usimpeleke mtoto boarding.
Ila usitegemee shule ikulelee mtoto vizuri ni jukumu lako kama mzazi kumlea mwanao. Matron mwenye kuangalia watoto 50 anawezaje kuwalea effectivelly? Na hao 50 ni smallest number.

Kuna shule sitaki kuzitaja jina nisije nikawaharibia biashara, rafiki yangu alimpeleka mwanae wa kiume (hapa hapa dar) boarding. Imepita miezi kama sita mzazi kaitwa mwanae amembaka mtoto wa kiume mwenzie. Wazazi wacha washangae mtoto wa darasa la nne. Alivyobanwa mtoto kasema mama na mimi nilivyokuwa mgeni walinigeuza wakanambia nisubiri aje mgeni mwingine nimgeuze mke wangu. Kwa hiyo ndo mchezo kwa watoto wote. What happened ni kuwa huyo mtoto aliyeshitaki siri ikatoka ni mtoto aliyelelewa kuwa muwazi hivyowalivyomfanyia mchezo mchafu alishitaki kwa wazazi wake, otherwise shule huwa haziriport hivyo vitu kwa manufaa yao ya kibihashara. Mkuu wa shule wacha aje juu na kusema mtoto muongo. Well mtoto alifukuzwa shule ameamia day school kwingine.

Lesson. Boarding zinazaa lesbians na mashoga.
 
Siyo nzuri sana sana ktk tender age,mtoto anatakiwa apate pia malezi ya wazazi.Hata hivyo uzuri unataka upi,kimasomo,msosi,mazingira etc.Jaribu Tusiime Segerea,St Anne Mbezi Kimara.
 
St. Catherine iliyopo Lushoto inaendeshwa na masista ni nzuri,ni ya wasichana watupu.
 
Back
Top Bottom