SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 174
Wakuu wana JF, Hi.
Tafadhali naomba msaada wenu wa mtu anayeifahamu primary school nzuri ya boarding kwa ajili ya watoto wa kike, na inazingatia maadili ya kuwalea watoto vema basi naomba mnisaidie kunijuza juu ya hilo wakuu.
Kwa kuzingatia ukaribu wa kwenda kumuona mtoto, interest yangu ipo ktk mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, na Morogoro.
Kama kuna yeyote anyefahamu basi naomba msaada juu ya hilo ili nimpeleke binti yangu.
Asante.