The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Kwenu wanajamvi.
Naombeni msaada wa app ya mpira uefa nzuri. Nilizo nazo zinazingua.
Naombeni msaada wa app ya mpira uefa nzuri. Nilizo nazo zinazingua.
Nishamaliza chuo nina degree sasa napambana na maisha .Lala wewee uwahi kesho shuleni.
Mbwiga
Asante
Ajaribu na browser pia kuna altenatives nyingiUlete mrejesho.
Scars
Ni kweli acheki na fawanews. Sc , unaandika jinsi ilivyo , nje ya hapo ni take. Fawa ni nzuri kwa mechi nyingiAjaribu na browser pia kuna altenatives nyingi
koorralive.com
Find information, resources and relevant links for koorralive.com. This domain may be for sale.www.koorralive.com
Fawa iko overloaded sana servers zakeNi kweli acheki na fawanews. Sc , unaandika jinsi ilivyo , nje ya hapo ni take. Fawa ni nzuri kwa mechi nyingi
Ni kweli , ila kwangu kidogo naona ina afadhalFawa iko overloaded sana servers zake
Siku hizi tunaangalia mechi kwenye site ambazo ni unpopular ndio tunapata streaming nzuri bila buffering za kijinga kijinga.
Hiyo Fawanews ukiwa unaangalia tukio la mchezaji kwenda kufunga goli utaona hapo hapo inaanza ku load, vinginevyo labda iwe mechi ndogo ambayo haiangaliwi na watu wengi.