Kwa mtazamo wangu mtaji ni mdogo kwa micro loans labda uwakopeshe mkopo wa wiki moja. Tafuta sehemu yenye watu wengi kuwa wakala wa m-pesa au tigo pesa, kwa mtaji wa mil 5 unaweza pata commision hadi 900,000 kwa mwezi .
Wazo zuur bratha ntalifanyiya kazi
M pesa,t pesa sikushauri achana nazo. wazo ulilonalo ni zuri na mtaji unatosha unaanza kukopesha mikopo midogo midogo kuanzia hata elfu 50 , mtaji utakua waone wataalamu wa micro finance, kuna mtu namfahamu alianza na 2m tu 3yrs back leo ana more than 20.
usiingie kichwakichwa kwenye hii biashara akikisha umeelewa mambo yote yahusiyo biashara.
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then ntalifanyia utafiti wa undani zaidi asanteni naomba kuwasilsha ila mm mwemyewe nilikuwa nna wazo la kuanzisha small micro loans coz nna mtaji wa million 5 asanteni sana nasubir mawazo yenu ndugu zangu

Just follow your heart fanya biashara ya microfinance kama unavyowaza kikubwa watafute tu wazoefu wa biashara kama hizo wakupe ujuzi wa kazi.Wanaosema huo mtaji ni mdogo wakumbuke siku zote hakuna pesa inayotosha cha mhimu ni kuweka mipango yako vizuri baaasi.
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then ntalifanyia utafiti wa undani zaidi asanteni naomba kuwasilsha ila mm mwemyewe nilikuwa nna wazo la kuanzisha small micro loans coz nna mtaji wa million 5 asanteni sana nasubir mawazo yenu ndugu zangu
Kupata leseni ya kuendesha biashara ya micro credit/loans inasumbua sana. Labda kama unataka kuifanya kienyeji. Kuna jamaa humu humu JF wanatangaza habari za kilimo cha greenhouse. Mil 5 inatosha na kubaki kidogo kama sijakosea. Search Greenhouse utawapata. Ila mie sina uzoefu wowote wa greenhouse. Risk zozote utakazokumbana nazo SIMO.