Msaada wa biashara gani nifanye

Msaada wa biashara gani nifanye

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then ntalifanyia utafiti wa undani zaidi asanteni naomba kuwasilsha ila mm mwemyewe nilikuwa nna wazo la kuanzisha small micro loans coz nna mtaji wa million 5 asanteni sana nasubir mawazo yenu ndugu zangu
 
  • Thanks
Reactions: BIR
Bora wewe unaejielewa na kutaka kufanya kitu muhimu
 
Kwa mtazamo wangu mtaji ni mdogo kwa micro loans labda uwakopeshe mkopo wa wiki moja. Tafuta sehemu yenye watu wengi kuwa wakala wa m-pesa au tigo pesa, kwa mtaji wa mil 5 unaweza pata commision hadi 900,000 kwa mwezi .
 
Wazo zuur bratha ntalifanyiya kazi
 
Wazo zuur bratha ntalifanyiya kazi

M pesa,t pesa sikushauri achana nazo. wazo ulilonalo ni zuri na mtaji unatosha unaanza kukopesha mikopo midogo midogo kuanzia hata elfu 50 , mtaji utakua waone wataalamu wa micro finance, kuna mtu namfahamu alianza na 2m tu 3yrs back leo ana more than 20.
usiingie kichwakichwa kwenye hii biashara akikisha umeelewa mambo yote yahusiyo biashara.
 
Micro finance mie siiafiki pia,ni risk taking sana.
Pia Riba siku zote haina mwisho mwema na zaidi kuishi maisha ya wasiwasi.
Tafuta askofu au Sheikh akuambie mambo ya Riba na hasara zake
 
Nipige biashara gani bratha?
 
M pesa,t pesa sikushauri achana nazo. wazo ulilonalo ni zuri na mtaji unatosha unaanza kukopesha mikopo midogo midogo kuanzia hata elfu 50 , mtaji utakua waone wataalamu wa micro finance, kuna mtu namfahamu alianza na 2m tu 3yrs back leo ana more than 20.
usiingie kichwakichwa kwenye hii biashara akikisha umeelewa mambo yote yahusiyo biashara.

Brother hebu nipe details za huyo jamaaa alye anza na 2m ili anipe experience zake
 
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then ntalifanyia utafiti wa undani zaidi asanteni naomba kuwasilsha ila mm mwemyewe nilikuwa nna wazo la kuanzisha small micro loans coz nna mtaji wa million 5 asanteni sana nasubir mawazo yenu ndugu zangu

Million Tano Micro loans!?! Ndogo sana iyo pesa.
 
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then ntalifanyia utafiti wa undani zaidi asanteni naomba kuwasilsha ila mm mwemyewe nilikuwa nna wazo la kuanzisha small micro loans coz nna mtaji wa million 5 asanteni sana nasubir mawazo yenu ndugu zangu

Just follow your heart fanya biashara ya microfinance kama unavyowaza kikubwa watafute tu wazoefu wa biashara kama hizo wakupe ujuzi wa kazi.Wanaosema huo mtaji ni mdogo wakumbuke siku zote hakuna pesa inayotosha cha mhimu ni kuweka mipango yako vizuri baaasi.
 
Nimekuelewa mkuu ntalifanya hilo
 
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then ntalifanyia utafiti wa undani zaidi asanteni naomba kuwasilsha ila mm mwemyewe nilikuwa nna wazo la kuanzisha small micro loans coz nna mtaji wa million 5 asanteni sana nasubir mawazo yenu ndugu zangu

Kupata leseni ya kuendesha biashara ya micro credit/loans inasumbua sana. Labda kama unataka kuifanya kienyeji. Kuna jamaa humu humu JF wanatangaza habari za kilimo cha greenhouse. Mil 5 inatosha na kubaki kidogo kama sijakosea. Search Greenhouse utawapata. Ila mie sina uzoefu wowote wa greenhouse. Risk zozote utakazokumbana nazo SIMO.
 
Upo wapi! ni rahisi hata kutoa wazo kutokana na mahali ulipo!!
 
anza mradi wa kufuga kuku wa mayai.
una nunua vifaranga 100 mwezi wa julay. kisha mwezi august unanunua wengine 100, kisha sept. unanunua 100 kisha oct. unanunua 100 kisha Nov. unanununua 100. sasa ikifika Nov. wale wa mwezi july wataanza kutaga.. utakuwa unapata mayai 100 sawa na try 3 baki mayai 10. try moja uza sh. 7500. utapata 22500 kwa siku.

kisha mwezi ujao kuku 100 wengine wataanza kutaga.. kisha mwezi unaofuata wengine wataanza kutaga... baadae wote 500 watakuwa wanataga. utapata mayai 500 sawa na try 16 kila siku.. na ukiuza sh, 7500 @ utapata 120'000 kila siku.

kuku watataga kwa miezi 18 sawa na mwaka mmoja na nusu. baada ya hapo wataanza kuacha kidogokidogo.. nawa utaanza kuwauza. na kama upo Dar wapeleke kwenye mabaa ya Sinza. kuku mmoja muuze kwa 15'000 tu kwa kuku 100 utapata 1'500'000/ na kila mwezi utauza kuku 100 kulingana na ulivyowanunua walipokuwa vifaranga.
watakapo uzwa wote 500 utapata 7'500'000. na biashara ya mayai utakuwa unaendelea nayo

mayai tafuta soko kwenye bakery au kwe vibanda vya chips huko sinza, kinondoni mwenge n.k.
unaajiri kijana unamnunulia baiskeli au kama vipi unamtafutia pikipiki ndogo kwaajili ya kubebea mifuko ya chakula cha kuku na trys za mayai..

anyway ipange vizuri idea hii utaona kama inakuwaje.

uzuri wa hili wazo litakapoanza kuingiza pesa ni moja kwa moja... na huabanwi na muda. kuku ukishawapa chakula na maji basi. ambapo huyo kijana ukimwajili ndio anafanya hayo. nawe unakuwa unaumiza kichwa kwa mambo mengine.

ila tu usiwanunue wote kwa mara moja..
 
Mie mtu akiniuliza swali hilo huwa nampa jibu fupi sana lakini lenye maana kubwa.
Ukitaka kufanya biashara yenye mafanikio "fanya kile ambacho unamapenzi nacho na una ujuzi nacho" the end.
Mfano mie namapenzi makubwa na ninauelewa mzuri na electronics so nmeamua kufanya biashara ya kuuza electronics.1.kuwa namapenzi na kitu unachokifanya kinakupa passion ya kuendelea,inakusaidia kutokata tamaa,na unakuwa una enjoy unachofanya.
2.kuwa na idea/uzoefu/ujuzi ya hyo biznez unayofanya inakusaidia kuwa na ufanisi na kuweza kukabiliana na changamoto zitakazojitokeza.
Kwahyo jiulize maswali mawili 1.what do i love to do?.2kitu gani nina ujuzi nacho kisha utapata jibu la biashara gan ufanye.ahsante
 
Kupata leseni ya kuendesha biashara ya micro credit/loans inasumbua sana. Labda kama unataka kuifanya kienyeji. Kuna jamaa humu humu JF wanatangaza habari za kilimo cha greenhouse. Mil 5 inatosha na kubaki kidogo kama sijakosea. Search Greenhouse utawapata. Ila mie sina uzoefu wowote wa greenhouse. Risk zozote utakazokumbana nazo SIMO.

Hii green house ndo kitu gani jaman
 
Back
Top Bottom