Sidhani kama uko serious na hicho unachotaka kukifanya na huo mtaji wako wa M5 labda uniambie una ofisi iliyokamilika tayari lakini kama bado hebu cheki hapa
Mtaji 5,000,000/=
Mahitaji
Ofisi yenye vyumba viwili
kimoja 100,000/= × 12= 2,400,000/=
Computer 2 @ 300,000/= ×2=600,000/=
Meza 2 @ 100,000/= × 2 =200,000/=
Viti 5 @ 50,000/= × 5 = 250,000/=
Bado kabati la kutunzia kumbukumbu stationeries feni ukarabati wa ofisi kwa mahitaji yako umeme wa kuanzia, vifaa vya usafi mfanyakazi mmoja na mshahara wake uwe tayari kwa mwezi huo
Utaona kuwa kwa mtaji wako huo na hicho unachotaka kukifanya haviendani kabisa labda ofisi iwe hm kwako
Kumbuka nimejaribu kuweka viwango vya chini kabisa kwenye kila kitu kutegemeana na hadhi ya ofisi unayotaka kufungua. Nasubiri maswali