Msaada wa biashara gani nifanye

Msaada wa biashara gani nifanye

wewe si nimetoka kusoma post yako unasema unawapatia watu huduma za "business ideas"
 
Halafu ana mtaji wa m5 na anataka kuanzisha micro finance, ukinunua tu vitendea kazi na kulipa kodi ya ofisi pamoja na kupata documents sijui atabaki na bei gani
 
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then ntalifanyia utafiti wa undani zaidi asanteni naomba kuwasilsha ila mm mwemyewe nilikuwa nna wazo la kuanzisha small micro loans coz nna mtaji wa million 5 asanteni sana nasubir mawazo yenu ndugu zangu

Sidhani kama uko serious na hicho unachotaka kukifanya na huo mtaji wako wa M5 labda uniambie una ofisi iliyokamilika tayari lakini kama bado hebu cheki hapa

Mtaji 5,000,000/=
Mahitaji
Ofisi yenye vyumba viwili kimoja 100,000/= × 12= 2,400,000/=
Computer 2 @ 300,000/= ×2=600,000/=
Meza 2 @ 100,000/= × 2 =200,000/=
Viti 5 @ 50,000/= × 5 = 250,000/=
Bado kabati la kutunzia kumbukumbu stationeries feni ukarabati wa ofisi kwa mahitaji yako umeme wa kuanzia, vifaa vya usafi mfanyakazi mmoja na mshahara wake uwe tayari kwa mwezi huo
Utaona kuwa kwa mtaji wako huo na hicho unachotaka kukifanya haviendani kabisa labda ofisi iwe hm kwako
Kumbuka nimejaribu kuweka viwango vya chini kabisa kwenye kila kitu kutegemeana na hadhi ya ofisi unayotaka kufungua. Nasubiri maswali
 
Last edited by a moderator:

Nimeupenda mchanganuo wako ndugu
 
Last edited by a moderator:
Ni baada ya kuona mtaji wangu ni mdogo kwenye buashara nayo taka kufanya ndo nimeamuwa kufanya kitu ambacho nina ujuzi nacho ambavyo ndo hvyo vitu related to business ndivyo nilivyo somea na nina ujuzi navyo sawa kaka
 
wewe si nimetoka kusoma post yako unasema unawapatia watu huduma za "business ideas"

Ni baada ya kuona mtaji wangu ni mdogo kwenye buashara nayo taka kufanya ndo nimeamuwa kufanya kitu ambacho nina ujuzi nacho ambavyo ndo hvyo vitu related to business ndivyo nilivyo somea na nina ujuzi navyo sawa kaka
 
We msanii unatupotezea muda.Una post mengine unajisahau kama umechoka kama sie.
We unasema unawapatia watu Huduma za Business Ideas kisha wewe mwenyewe unataka usaidiwe.
Huu ni upumbavu wa hali ya juu kupotezea watu muda.
Yaani unachuka Ideas humu ili uwape wateja wako kwa kuwaibia pesa zao.
Acha uzuzu nyambaff
 
Back
Top Bottom