Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

Virutubisho.

Kazi kweli kweli

Hoja nzito na izingatiwe.

First they win hearts and minds.

Hao watoto kwa mamia, hutoweza kuwaambia kuhusu kitu chochote huko mbeleni, kuhusu U.S.A.

Kitakachofutia ni Ukambona.
 
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui....
chakula hiki ni salama kwa matumizi, hakina athari wala madhara yoyote kiafya 🐒

hii si mara ya kwanza, bali ni muendelezo wa program ya lishe bora kwa watoto,

labda ni kwasababu tu umechelewa kulifahamu hili labda kwasabb ya umbali wa eneo lenyewe au uvivu wa kutafuta habari 🐒

nenda eneo husika uliza wameanza lini hii program 🐒
 
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..

Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani...
Lishe kweli ni tabu kidogo nchini kwetu basdhi ya maeneo,,

Bandiko lako nilipofika.

Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..

Nikaona bandiko limeshapoteza hoja
 
Mnaletewa mpaka vyakula vya mifugo
Leo watu wanawacheka Gaza waliouwawa kwa wingi na waliobaki misaada hawana

Nyie hata bunduki inauwaje hamjui ila mnapokea misaada kama wakimbizi
Bora mlishwe tu na hiyo mito waachieni Mamba na viboko tu kwa ajili ya Utalii kuliko wanadamu kumwagilia, kisa mzungu aje kutalii

Chakula kingetoka Qatar mngetukana sana Kama msaada waliotoa Hanang
Ila USA furahieni sana
Kuleni msizae
 
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..

Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?

Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?

Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.

Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..

Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.

Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..

Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.

Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.

View attachment 2935710
Mungu wabariki Wazungu , huko Temeke wananchi wanakula donna kavu bila mboga
 
Huyo mama yenu keshasema sie hatuwezi kitu. Acha watu waanze kuwa mashoga baada ya kula hiyo misaada.
Kwani sasa hivi hawapo??
Mashoga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo daima milele
Bad enough, kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo idadi yao inavyokuwa kwa kasi zaidi. Ni suala la muda tu, whether we like it or not.
 
chakula hiki ni salama kwa matumizi, hakina athari wala madhara yoyote kiafya 🐒
Nani huyu aliye kuhakuhakikishia hayo? Kwanini wasiwanunulie unga wa Ugali?
hii si mara ya kwanza, bali ni muendelezo wa program ya lishe bora kwa watoto,
Hayo ndio anayoyasema mleta mada, Lishe bora kivipi? Kwani mchele wa Kilombero sio lishe bora? Ukumbuke watoto wanaathirika na Mchele na unaweza kusababisha saratani huko mbeleni, hususani huu mchele unaongezwa kemikali/virutubisho.
labda ni kwasababu tu umechelewa kulifahamu hili labda kwasabb ya umbali wa eneo lenyewe au uvivu wa kutafuta habari 🐒
Unakandamiza hoja ya mleta mada
nenda eneo husika uliza wameanza lini hii program 🐒

mpe majibu aliyokuwa akitafuta basi wewe mtibeli.
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?

Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
??
 
Mungu wabariki Wazungu , huko Temeke wananchi wanakula donna kavu bila mboga
Wazungu wenyewe watoto zao wanalala na njaa kali sana huko Marekani na Ulaya. Karibia watoto milioni kumi wanalala na njaa. Kwanini wasimalize hizo shida kwao kama sio kuja kutafuta Airtime?

Itoshe watoto huko wanakula Cornflakes kavu na maji.

Watoto wanakufa na Saratani kila siku huko na imeongezeka maradufu kwa kula vyakula vilivyowekewa virutubishi.

Hawa watoto watakaokula mchele huo, wanajiongezea sababu tu watoto zao waje kuwa kama hivyo tu, na ongezeko la saratani.
 
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..

Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?

Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?

Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.

Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..

Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.

Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..

Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.

Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.

View attachment 2935710
Dodoma ni mkoa wenye laana.
Ardhi ikilaaniwa kuna yafuatayo:-
1. Inazaa mapooza
2. Ukoma
3. Trachoma na upofu
4. Njaa
5. Makao makuu ya vichaa a.k a Mirembe
6. Kinachostawi Dodoma ni zabibu tu, tutengeneze pombe watu walewe wakapige wake zao na kuharibu familia
 
Wazungu wenyewe watoto zao wanalala na njaa kali sana huko Marekani na Ulaya. Karibia watoto milioni kumi wanalala na njaa. Kwanini wasimalize hizo shida kwao kama sio kuja kutafuta Airtime?

Itoshe watoto huko wanakula Cornflakes kavu na maji.

Watoto wanakufa na Saratani kila siku huko na imeongezeka maradufu kwa kula vyakula vilivyowekewa virutubishi.

Hawa watoto watakaokula mchele huo, wanajiongezea sababu tu watoto zao waje kuwa kama hivyo tu, na ongezeko la saratani.
Ni ukweli usiopingika kuna wazungu wana shida haswa na tunaona kila leo wqnaweka Makasha makubwa kila supermarkets zao
Ukipita umemaliza kulipia unaona lisanduku la msaada kwa hiyo unaweka kama ni kg ya sukari au pasta au nyanya
Na chakula chose na vitu vingine vinaenda Food Bank kwa kuwagawia masikini
 
Wanatupa misaada ili tuzidi kuwa masikini zaidi huku wakichukua baraka zetu
 
Dodoma ni mkoa wenye laana.
Ardhi ikilaaniwa kuna yafuatayo:-
1. Inazaa mapooza
2. Ukoma
3. Trachoma na upofu
4. Njaa
5. Makao makuu ya vichaa a.k a Mirembe
6. Kinachostawi Dodoma ni zabibu tu, tutengeneze pombe watu walewe wakapige wake zao na kuharibu familia
Sijawahi kubahatika kukutana na mtu mwenye asili ya Dodoma mwenye akili japo kidogo.
Yule babu alikuwa Papa Mkubwa (PM) ni zuzu na akatuletea litoto lizuzu kabisa. Yule mwingine Subwoofer, alikuwa zuzu kabisa, hatujawahi kuwa na Subwoofer duni la akili kama lile.
Pia Dodoma ndio sehemu pekee ambapo kuna ardhi inaitwa Zuzu.

Watu wa Dodoma ndio hao kina Mpwayungu Village
 
Back
Top Bottom