Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa Gaza hawachukui hata kama wanakufa njaa.
Wabadilishe magunia waweke
from Tanzania.
Hakuna jinsi ya kuwadunisha watu kama kuwapa chakula cha bure. Licha ya nchi yetu kua na chakula cha kutosha adui atataka akupe chakula na kukufanya kuamini huna uwezo kujilisha.
Sijui hii awamu yenye vichwa kama cha yule kipara kibaraka wa ubeberu anayejiamini bure wanaelewa hili.
Kama taifa nchi inayotaka kutupa chakula cha bure tuwe wapole na kuwaeleza shida yetu nyingine kama wanataka kutupa vya bure ili kutufanya tuamini sisi ni maskini na ni watu wa kusaidiwa tu.
Kitu ambacho hukijui hata mafuta, sembe , ngano za wazalishaji wakubwa kama mo, bakhresa na wengine nazo zina vurutubishi vilvyoongezwa na havitengenezwi hapa vinanunuliwa germany. We angalia hizo bidhaa utaona logo ya fortification.Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.
Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..
Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.
Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.
View attachment 2935710
Ni Kitumbo mchele,uliwai kuwepo hapo zamani tu.Mmmmmh! Mchele tena?
Sitaki kuamin kama ni mchele kwel
Si kila siku mnalalamika kuwa watanzania wengi wanakula mlo mmoja kwa sababu wananchi hawana uwezo wa kununua chakula? Wamarekani watakuwa wamefikiria sana mpaka kufikia uamuzi huo. Wakitoa pesa, wanajua kuwa CCM wataiba, wameamua kuleta chakula. Huenda hata chakula chenyewe hakijatoka US, bali kimenunuliwa toka taifa jingine.
Bila shaka CCM watakuwa waliomba chakula wakitarajia watapewa pesa ili waipige. US wameamua kuwakomoa kwa kuwapa chakula. Ni sawa na wale omba omba wanaokuomba hela ukiwa hotelini unakula, wakidai wanaomba hela wanunue chakula, na wewe ukaamua kuwanunulia chakula wale. Huwa hawafurahi kabisa. Mjue uchaguzi ni mwakani, CCM inahaha kutafuta pesa ya kampeni. Pesa ya DP World inaweza isitosheleze kugharamia kampeni za CCM kama walivyowaahidi.
Kitu ambacho hukijui hata mafuta, sembe , ngano za wazalishaji wakubwa kama mo, bakhresa na wengine nazo zina vurutubishi vilvyoongezwa na havitengenezwi hapa vinanunuliwa germany. We angalia hizo bidhaa utaona logo ya fortification.
So kama lengo ni kutumaliza basi hawakuanza sasa hivi wameanza zamani na kama kutuniza hata hawana haja ya kutunaliza kwa kututangazia kuwa wanatuletea chakula, wana njia nyingi tu maana karibu vifaa tiba vyote vinatoka nje.
Wangetaka kutumaliza wangefanya hivyo kupitia chanjo za watoto,dawa za kufubaza virusi vya ukimwi,dawa mbalimbali za kutibu magonjwa,simu za mkononi,nk.hivyo ondoa wasiwasi .maana wasiwasi mwingine uleta ujinga machoni pawatu kama tulivogoma KUPATA chanjo ya COVID tukihofia kuhujumiwa wakati huohuo tunafakamia sawa za kufubaza virusi vya ukimwi,dawa za malria,sawa za BP nkHaya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.
Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..
Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.
Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.
View attachment 2935710
Waache wakufindishe Sasa wewe unayeshinda kijiweni kila siku. Huna Hana shamba moja ya mahindi halafu hutaki msaada? Basi we utakuwa chizi. Ni sawa na jpm aliyekuwa anaitangazia dunia kwamba Tanzania ni tajiri huku watu wanakufa kila siku kwa utapia mlo. Angekuwa Bado yupo nahakika mizoga ya watu barabarani ingekuwa mingi kwa ujinga wake wa kujijari yeye tuHatuna Ukame, hatuna Vita wala sisi sio Wakimbizi.
Watufungulie miradi ya Irrigation Schemes tulime sisi wenyewe Mahindi ni Miezi minne tu tunavuna.
ISIJE KUWA HUO MCHELE WAMESHAWEKA MADAWA YAO YA KUWAFANYA WATOTO WALIO SHULE. KUWA NA HAIBA YA USHOGA ?MANA HAWA WAZUNGU SIO WATU WA KUWAAMINI
Kuna mtu anatembelea v8 ya mil 500 wakati angweza kutembelea prado ya mil 150.Utapiamlo ni shida kubwa ya nchi wala sio Dom, tuna chronic malnutrition ndio maana tunafanana wote tu! Awe profesa au mtawala hana tofauti na mzee wangu kule mbwilike ambaye hajui hata kusoma hela. Hatuna kitu tunafanya vizuri iwe michezo across all fields hadi uchungaji na ulokole wetu ni tofauti sana na dunia
Hizo chanjo zimesha anza kufanya kazi.. matatizo kibao.. hormon balance ni issue siku hizi, watoto wa kiume kurembua kama mwanawamali wa pemba sio poaWangetaka kutumaliza wangefanya hivyo kupitia chanjo za watoto,dawa za kufubaza virusi vya ukimwi,dawa mbalimbali za kutibu magonjwa,simu za mkononi,nk.hivyo ondoa wasiwasi .maana wasiwasi mwingine uleta ujinga machoni pawatu kama tulivogoma KUPATA chanjo ya COVID tukihofia kuhujumiwa wakati huohuo tunafakamia sawa za kufubaza virusi vya ukimwi,dawa za malria,sawa za BP nk
Kama wewe mwanaume rijari utaridhika familia yako ilishwe na wanaume wenzio?Wewe toa hata tani 1
Kama umeahiba kuna watu wana uhitaji na chakula
Wanadump akiba yao karibu ku expire ya chakula na pia kuwadhalilisha kisaikolojia kwamba hamuwezi kujilisha. Sasa sisi tayari tumeweza kujilisha na tuna akiba ya kutosha ya chakula. Tatizo ukiwa na viongozi aina ya kina bashe na kipara wanaohusudu njia za marekani hawawezi kuona nia ovu marekani kukazana kutupa chakula cha bure licha kwamba hatuna njaa.Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..