Kobe la Makobe
Senior Member
- Feb 3, 2024
- 127
- 142
Uzi mzuri ila umeuharibu kumtaja JP, wewe umejuaje kma angekuwepo angekubali au asingekubali?Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani...
Solution yake ni simple tu, mnautoa kwenye package zao na kurepackage kwenye zetu; wahanga wa mauaji ya genocide huko Gaza wanapata mlo.Haaa, wazo zuri.. tatizo msaada umekuja na machata kibao, From USA
Hahahaa njoo nikupandeAsanteni kwa Bandari, ukiniita beberu ujue wewe ni mbuzi jike.
chakula hiki ni salama kwa matumizi, hakina athari wala madhara yoyote kiafya 🐒Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui....
Lishe kweli ni tabu kidogo nchini kwetu basdhi ya maeneo,,Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani...
Mungu wabariki Wazungu , huko Temeke wananchi wanakula donna kavu bila mbogaHaya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.
Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..
Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.
Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.
View attachment 2935710
Kwani sasa hivi hawapo??Huyo mama yenu keshasema sie hatuwezi kitu. Acha watu waanze kuwa mashoga baada ya kula hiyo misaada.
Nani huyu aliye kuhakuhakikishia hayo? Kwanini wasiwanunulie unga wa Ugali?chakula hiki ni salama kwa matumizi, hakina athari wala madhara yoyote kiafya 🐒
Hayo ndio anayoyasema mleta mada, Lishe bora kivipi? Kwani mchele wa Kilombero sio lishe bora? Ukumbuke watoto wanaathirika na Mchele na unaweza kusababisha saratani huko mbeleni, hususani huu mchele unaongezwa kemikali/virutubisho.hii si mara ya kwanza, bali ni muendelezo wa program ya lishe bora kwa watoto,
Unakandamiza hoja ya mleta madalabda ni kwasababu tu umechelewa kulifahamu hili labda kwasabb ya umbali wa eneo lenyewe au uvivu wa kutafuta habari 🐒
nenda eneo husika uliza wameanza lini hii program 🐒
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
??Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Ukumbuke walikuwa hawana ulazima wa kutuletea mahindi yale. Ikiwa na maana walikuwa na mahindi bora zaidi ya yale.Ni hao hao USA,waliwahi toa mahindi mwisho ukapatikana unga wa Yanga.
Wazungu wenyewe watoto zao wanalala na njaa kali sana huko Marekani na Ulaya. Karibia watoto milioni kumi wanalala na njaa. Kwanini wasimalize hizo shida kwao kama sio kuja kutafuta Airtime?Mungu wabariki Wazungu , huko Temeke wananchi wanakula donna kavu bila mboga
Wabongo wanataka kushiba tuHuo mchele wenye virutubisho ni ule ulioandikwa children against hunger? Kama ni huo mchele ni wa hovyo na hauna ladha nzuri iliyozoeleka japo una chengachenga za nyama
Dodoma ni mkoa wenye laana.Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.
Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..
Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.
Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.
View attachment 2935710
Ni ukweli usiopingika kuna wazungu wana shida haswa na tunaona kila leo wqnaweka Makasha makubwa kila supermarkets zaoWazungu wenyewe watoto zao wanalala na njaa kali sana huko Marekani na Ulaya. Karibia watoto milioni kumi wanalala na njaa. Kwanini wasimalize hizo shida kwao kama sio kuja kutafuta Airtime?
Itoshe watoto huko wanakula Cornflakes kavu na maji.
Watoto wanakufa na Saratani kila siku huko na imeongezeka maradufu kwa kula vyakula vilivyowekewa virutubishi.
Hawa watoto watakaokula mchele huo, wanajiongezea sababu tu watoto zao waje kuwa kama hivyo tu, na ongezeko la saratani.
Sijawahi kubahatika kukutana na mtu mwenye asili ya Dodoma mwenye akili japo kidogo.Dodoma ni mkoa wenye laana.
Ardhi ikilaaniwa kuna yafuatayo:-
1. Inazaa mapooza
2. Ukoma
3. Trachoma na upofu
4. Njaa
5. Makao makuu ya vichaa a.k a Mirembe
6. Kinachostawi Dodoma ni zabibu tu, tutengeneze pombe watu walewe wakapige wake zao na kuharibu familia