Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Ukitaka kujua kuna utapia mlo makubwa hapa bongo angalia timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu.
Kwa mtoto atakayekula virutubisho vyote inavyopaswa, basi anakuja kuwa lijitu lenye nguvu lirefuu. Sasa cheki timu yetu vijitu vilivyodumaaa hii yote instokana na kutokupata mlo wenye virutubisho walipokuwa wadogo.
In short ni kwamba ugali ni moja ya chakulaa chenye virutubisho vichacheee sana, alafu ndo unaliwaa kwaa wingii sana bongo
Sio timu ya taifa tu, watanzania wote tuna utapiamlo wa kudumu, tunaanza kuupata tangu utotoni kwa kuwa wazazi wetu pia walikua nao. Angalia sekta zote wapi kuna mahali tunafanya vizuri? Kuna watu hapa kwa unafiki tu wanasema Mbeya kuna mchele ukanunuliwe wakati hata kutosha tu wananchi hautoshi! Na hata hivyo sijui watu wanaongelea ladha? Hata huo wa mbeya hauna virutubisho, unajaza matumbo tu (kwani hao watu wa Mbeya wanaokula huo mchele wana tofauti gani na watz wengine zaidi ya rangi za ngozi tu?? Tuna malnutrion ndio maana jamii yetu yote ipo ilivyo tangui kwa viongozi hadi wasomi wanaochangia uzi huu! Hamna mwenye hoja zaidi ya kusema ushoga tukisema hebu eleza mahusiano ya chakula na ushoga wote wataleta sanaa za uchawa tu hapa! Mara JPM angekuwepo sijui angefanyaje? Unafiki tu, angefanya nini kwani? Misaada ya chakula ya USAID ilianza tangu miaka ya John Kennedy aliyeleta kwa serikali ya Nyerere, mwaka 1974 pia na 1984 yote ilikuja na wazazi wenu walikula, leo hii walikuwa mashoga?
Solution moja tu kama mnataka kuondoa fedheha ya kusaidiwa hadi chakula, ongezeni uzalishaji na zalisheni vyakula vyenye lishe ili kizazi kinachokuja kipungue utapiamlo na wakue physically na mentally sawasawa ili waje wakomboe kizazi hiki, hiki hamna namna kitajikomboa, ndio ukweli mchungu!! Kitabaki hivihivi hadi kitakwisha, maoni na michango yenu duni itaishia JF na tutaendelea kuanzisha nyuzi mpya za namna hii hadi tunamaliza safari zetu...sadly