Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania


Sio timu ya taifa tu, watanzania wote tuna utapiamlo wa kudumu, tunaanza kuupata tangu utotoni kwa kuwa wazazi wetu pia walikua nao. Angalia sekta zote wapi kuna mahali tunafanya vizuri? Kuna watu hapa kwa unafiki tu wanasema Mbeya kuna mchele ukanunuliwe wakati hata kutosha tu wananchi hautoshi! Na hata hivyo sijui watu wanaongelea ladha? Hata huo wa mbeya hauna virutubisho, unajaza matumbo tu (kwani hao watu wa Mbeya wanaokula huo mchele wana tofauti gani na watz wengine zaidi ya rangi za ngozi tu?? Tuna malnutrion ndio maana jamii yetu yote ipo ilivyo tangui kwa viongozi hadi wasomi wanaochangia uzi huu! Hamna mwenye hoja zaidi ya kusema ushoga tukisema hebu eleza mahusiano ya chakula na ushoga wote wataleta sanaa za uchawa tu hapa! Mara JPM angekuwepo sijui angefanyaje? Unafiki tu, angefanya nini kwani? Misaada ya chakula ya USAID ilianza tangu miaka ya John Kennedy aliyeleta kwa serikali ya Nyerere, mwaka 1974 pia na 1984 yote ilikuja na wazazi wenu walikula, leo hii walikuwa mashoga?

Solution moja tu kama mnataka kuondoa fedheha ya kusaidiwa hadi chakula, ongezeni uzalishaji na zalisheni vyakula vyenye lishe ili kizazi kinachokuja kipungue utapiamlo na wakue physically na mentally sawasawa ili waje wakomboe kizazi hiki, hiki hamna namna kitajikomboa, ndio ukweli mchungu!! Kitabaki hivihivi hadi kitakwisha, maoni na michango yenu duni itaishia JF na tutaendelea kuanzisha nyuzi mpya za namna hii hadi tunamaliza safari zetu...sadly
 
Huu ni mchele ulioongezwa vitamini na madini baada ya kuvunwa. Unitwa fortified rice. Mchele wote uliozalishwa Marekani ni lazima uongezewe virutubisho hata ule unaopatikana madukani Marekani kwenyewe mfano Uncle Ben's parboiled long grain rice.

 
Lakini kumbuka huyu ni mpumbavu mwezio mmetofautiana tu hoja
 

Your browser is not able to display this video.
 
Umenikumbusha pia tuna utapia mlo makubwa sana mentally, na kwa jinsi tunaongezeka kwa kasi, hii inchi inaweza ikashindikana kuishi hapo mob watakapochukua madaraka

Mkuu hoja kubwa hapa ni "kwa nini Marekani" sio kingine chochote, watu wanasahau America ni big brother, ni kama maji usipoyanywa utayaoga, usipoyaoga utayafulia nk nk. Hao wanaotajwa km Russia na wengine nao pia wanapata misaada ya US, hamna namna ya kukwepa hata apakwe mavi kiasi gani is there to stay. Ukitaka usipate fedheha nyumbani kwako jitosheleze kwa chakula wandugu, kama hujitoshelezi "umatonya unakuhusu sana tu"

Mchango wetu kwenye maendeleo ya dunia kwa kizazi hiki ni mdogo sana wandugu, bora hata babu zetu walitumikishwa wakajenga reli, barabara za vumbi, mashamba ya wakoloni pote duniani na hapa etc, japo hayajawasaidia persanally lakini yalichangia maendeleo ya wakati huo ambayo bado yanaonekana hadi sasa kwa kweli. Vijana wa leo tangu anazaliwa hadi anakufa hamna kitu significant kafanya hata ajivunie.
 
Ni hii nchi inayoshika nafasi ya pili kwa mifugo Africa. Imezungukwa na maziwa na bahari na utitiri wa mito unatiririsha maji mpaka mafuriko. Bila kusau neema ya Utajiri wa madini na gesi halafu kuna raia wenye utapiamlo wanaishi kwa chakula cha misaada kutoka kwa wahisani, huku kiongoz ananunuliwa gari la 400mil marupurupu ya kedekede.
Ukitafakari sana unaweza rukwa na akili.
 
Hakika Inaumiza sana
 
WAPI kwenye hiyo link wamesema michele yao yote wananunua kutoka kwenye maduka yao yote ni type hiyo waliyotuletea, "iliyoongezwa virutubisho" ???
 
Mkipewa msaada mnalalamika, msipopewa msaada mnalalamika.

Mkipewa trade deals kama AGOA hamzitumii.

Mnalalamika tu.

Haya, kulalamika kunaweza kuburudisha. Kukifanywa vizuri.

Hata kulalamika kwenyewe hamjui.

Mnalalamika kwa conspiracy theories za kuungaunga.
 
EPUKA SANA KUPOKEA ZAWADI YA NGUO KWA MTU AMBAYE YUKO UCHI
 
WAPI kwenye hiyo link wamesema michele yao yote wanayokula wao kutoka kwenye madukani yao yote ni type hiyo waliyotuletea, "iliyoongezwa virutubisho" ???
Jiongeze mkuu. Google. Fanya research ya angalau dakika 5.


 
Kwanini? Tanzani imekuwa ithiopia?
 
Virutubisho.

Kazi kweli kweli

Hoja nzito na izingatiwe.

First they win hearts and minds.

Hao watoto kwa mamia, hutoweza kuwaambia kuhusu kitu chochote huko mbeleni, kuhusu U.S.A.

Kitakachofutia ni Ukambona.
Ya solo. Ni bakweli lioboso zalinatema. heart then mind.
 
fortification inaongeza mukansa kwa batoto. California wanaweka label na kusema "may cause cancer" some chemical compund may be carcinogenic.

jiongezeee
 
Very true. Nimeenda California. Kwa package ya Rice Crispies ikienda kuuza california inasema, "may cause cancer" California has one of the strickest food safety laws. Fortified food products including thiose made with bleached rice and additional fortification, can contain chemical compounds that are associated with carcinogenic risk. unaweza patikana na kansa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…