Hilo linashangaza... Sasa walikuwa wanakuja site kufanya nini? Valuation of asset inafanyika na valuer wao, ambaye anawapa report... Hayo yote ya distance nk.... yanakuwa covered kwenye valuation report ... Hapo sasa naona unadeal na unprofessional... Kwa mfano, NMB anaweza kukupa mkopo hata dhamana ipo mkoa mwingine , alimradi inakidhi vigezo vyao...Hamna valuation ilofanyika mkuu,walikuja tu kutazama yani kabla hata hawajafika kwenye nyumba walishaanza kutoa point kwamba hawawezi toa mkopo kwa umbali huuu,hapo hata hawajafika kuiona kumbuka kwahyo wakawa wanasema kwakua safari tulishaianza basi tumalizie tu.
kwahyo ikawa hivyo.
Nenda NMB, tengeneza valuation.