Msaada wa Connection Ma Friji ya Kampuni

Msaada wa Connection Ma Friji ya Kampuni

Mkuu vizuri pia ungesema upo wapi.

Ili iwe rahisi. Maana kila mkoa una wataalam wake.

Mtu anaweza kukusawazishia kumbe yeye wa Masasi. Dar maji marefu kwake.
 
Niliwahi kujaza pepsi kwenye fridge ya Cocacola jamaa wakaja kuniletea noma nikawashikia panga sahivi sina connection ya hizo friji
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Utaweza Vita ya Pepsi na Coca-Cola, au ushawahi kushuhudia vita yao au hata kusimuliwa?

Nenda kwenye Branches zao wakupe utaratibu
 
Naomba msaada kwa mwenye kujua watu wanao husika na utoaji wa haya mafriji ya vinywajk ya kampuni.

COCACOLA
PEPSI
BEER

Nayahitaji kwa hali na Mali naomba msaada ili niweze fungua biashara ninayoitamani kwa kuanza nayo hayo kisha baadae nitaweka yangu binafsi.

Kuna wengine wanatoa ma Freezer kwa ajili ya kuweka ICE CREAM utaratbu ni ule ule unanunua mzigo kujaza friji lako kisha friji wanakupa bure.

MSAADA...
Nenda kwa kampuni mwenyewe achana na madalali.
 
Naomba msaada kwa mwenye kujua watu wanao husika na utoaji wa haya mafriji ya vinywajk ya kampuni.

COCACOLA
PEPSI
BEER

Nayahitaji kwa hali na Mali naomba msaada ili niweze fungua biashara ninayoitamani kwa kuanza nayo hayo kisha baadae nitaweka yangu binafsi.

Kuna wengine wanatoa ma Freezer kwa ajili ya kuweka ICE CREAM utaratbu ni ule ule unanunua mzigo kujaza friji lako kisha friji wanakupa bure.

MSAADA...
Hizo friji zinakunywa umeme jibane ununue yako
 
Back
Top Bottom