lilly petet
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 144
- 22
habari wana jamvi.. mimi ni mdada wa miaka 23, nasumbuliwa na maumivu makali ya kiuno.. msaada kwa mtu anaejua dawa tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naijua ila muombe ruhusa mumeo kwanza!
nitumie basi PmNitafute nikupe dawa
ni ipi hyo? naomba unisaidie ndugu yakoMimi nina tiba ni dawa natural achen utan nyie kwenye ishu za afya
Mmmh...Maumivu ya kiuno au Tumbo kwa m/ke yanasababishwa na kutofikishwa kileleni--Dr. Ndodi
Mimi naijua ila muombe ruhusa mumeo kwanza!
ni ipi hyo? naomba unisaidie ndugu yako
hili ni jukwaa la afya sio jokes chunga kauli yako.
Mgonjwa kwanza pole sana ila hebu fafafnua zaidi tatizo lilianzaje kwani wakati mwingine ni kipindi cha hedhi.
kanunue buscopan (hyoscine). moja mara tatu.habari wana jamvi.. mimi ni mdada wa miaka 23, nasumbuliwa na maumivu makali ya kiuno.. msaada kwa mtu anaejua dawa tafadhali
kanunue buscopan (hyoscine). moja mara tatu.
Asante sana bro.. Siyo tu kipindi cha hedhi.. Nikifanya kazi kwa muda hata dk kumi nahisi maumivu makali sana..