Msaada wa dawa kwa anayejua

Msaada wa dawa kwa anayejua

lilly petet

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
144
Reaction score
22
habari wana jamvi.. mimi ni mdada wa miaka 23, nasumbuliwa na maumivu makali ya kiuno.. msaada kwa mtu anaejua dawa tafadhali
 
Maumivu ya kiuno au Tumbo kwa m/ke yanasababishwa na kutofikishwa kileleni--Dr. Ndodi
 
Mimi nina tiba ni dawa natural achen utan nyie kwenye ishu za afya
 
Mimi naijua ila muombe ruhusa mumeo kwanza!

hili ni jukwaa la afya sio jokes chunga kauli yako.

Mgonjwa kwanza pole sana ila hebu fafafnua zaidi tatizo lilianzaje kwani wakati mwingine ni kipindi cha hedhi.
 
hili ni jukwaa la afya sio jokes chunga kauli yako.

Mgonjwa kwanza pole sana ila hebu fafafnua zaidi tatizo lilianzaje kwani wakati mwingine ni kipindi cha hedhi.

Asante sana bro.. Siyo tu kipindi cha hedhi.. Nikifanya kazi kwa muda hata dk kumi nahisi maumivu makali sana..
 
pitia kuna nyuzi nyingi sana humu zina maelezo ya namna ya kufanya unaposumbuliwa na maumiv ya kiuno. Ama ngoja dr.mzizimkavu aje hapa.
 
ngoja dr.mzizimkavu aje. Ama upitie nyuzi za nyuma zina maelekezo bayana na kwa kina juu ya tatizo lako.
 
nenda hospitali, the possibilities are endless!! chezea uhai wewe!"
 
Back
Top Bottom