Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Listerine mouthwash kifuniko,vinegar kifuniko na maji moto kiasi kisha loweka miguu yako kwa dk zisizo pungua 10 kwa wiki mbili leta mrejesho.Unaweza baada ya kukausha miguu ukaweka listerine kwenye pamba na kupaka hizo sehemu zilizo athirika.Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
Ngoja nitafanya hivyo mkuuListerine mouthwash kifuniko,vinegar kifuniko na maji moto kiasi kisha loweka miguu yako kwa dk zisizo pungua 10 kwa wiki mbili leta mrejesho.Unaweza baada ya kukausha miguu ukaweka listerine kwenye pamba na kupaka hizo sehemu zilizo athirika.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻Acha kuvaa soksi zenye ubaridi
au kuiweka miguu sehemu zenye unyevunyevu pia tafuta tube ya antifungal kama Clotrimazole upake( tube za antifungal ni nyingi )
Itabidi nifanye hivyo mkuuAnza kutibu chanzo, miguu yako inatoa jasho sana na kuvifanya vidole vyako viwe na unyevu hadi fangasi kuota,, Kujitibu ukimaliza kuoga vuta vidole hakikisha havibaki na maji kabisaaaa yaani viwe vikavu halafu pendeleaa kuvaa viatu vya wazi hadi upone gonjwa lako ukilazimika kuvaa vya kufunika bhasi weka kitunguu au chumvi ndani ya kiatu na ukipata nafasi anika miguu hiyo nje
Cha kwanza jitahidi kila ukioga au ukinawa hakikisha unafuta maji na huachi kabisa katikati ya vidoleAnayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
Safisha na chumvi kisha paka limao then mafuta ya nazi.. Siku tano nyingi itakimbia bila kukimbizwaAnayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
Tafuta mycota powder au creamAnayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
. Cetrizine tabs 10mg od 10/7Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
Asante boss 🤝🤝🤝Tumia hii candid b cream na vidonge vya fluconazole tab/capsView attachment 3149446
Au
Tumia terbinafine cream na fluconazole tabs/caps
View attachment 3149450
SahihiAcha kuvaa soksi zenye ubaridi
au kuiweka miguu sehemu zenye unyevunyevu pia tafuta tube ya antifungal kama Clotrimazole upake( tube za antifungal ni nyingi )
Opps...i feel hii ni heavy dose sana? Maana griseofluvin tabs 500mg tu ni mziki.... Cetrizine tabs 10mg od 10/7
. Skderm apply bid 7-14/7
. Griseofluvin tabs 500mg od 7-10/7
Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
View attachment 3149214
Tafuta mycota powder au cream