Msaada wa dawa ya fungus kwenye vidole vya miguu

Msaada wa dawa ya fungus kwenye vidole vya miguu

Chukua maji ya vuguvugu weka chumvi kidogo posha halafu mpaka limao siku tatu nyingi
 
Listerine mouthwash kifuniko,vinegar kifuniko na maji moto kiasi kisha loweka miguu yako kwa dk zisizo pungua 10 kwa wiki mbili leta mrejesho.Unaweza baada ya kukausha miguu ukaweka listerine kwenye pamba na kupaka hizo sehemu zilizo athirika.
Atalia sana😂
 
Nashauri usiweke picha mkuu, kuna jamaa aliwahi kuweka picha ya vidole wakamwambia anavidole kama tangawizi...😂
Ila pole sana mkuu...😑
 
Back
Top Bottom