Msaada wa Dawa ya kutoa mimba ya miezi mitatu

Status
Not open for further replies.
Mimba ya 3 mths mkuu ni kubwa...tegemea mawili kusurvive au kifo ...kwanza itakutisha mno hiyo situation...mimba ya 3mths uchungu wake sio wa kuvumilia .katapiga ukunga utaumbuka .mpeleke hosp kwabusalama zaidi ...ila asijaribu dawa za kienyeji..au OTC
 
"Miso" ataumwa uchungu kama vile yupo "leba" kwa kibinti hicho nyumbani hapatakalika kwa kilio...kwa wamama nzao ya pili angalau wameishakuwa na uzoefu wa kuvumilia maumivu ya uchungu
Hayavumiliki maumivu yake .bora Kuzaa uchungu unaenda na kurudi..ya miso hayaendi unastay had kitoto kitoke
 
Kutoa mimba ni risk sana,inaweza sababisha hata kupoteza maisha.
Ni heri kutotengeneza tatizo juu ya tatizo.

Unaweza ukaona rahisi Kwa sababu wengine walifanikiwa ..Ila mambo yakienda sivyo nakwambia utajuta Mkuu,,utatamani urudishe muda nyuma.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…