Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Mimba ya 3 mths mkuu ni kubwa...tegemea mawili kusurvive au kifo ...kwanza itakutisha mno hiyo situation...mimba ya 3mths uchungu wake sio wa kuvumilia .katapiga ukunga utaumbuka .mpeleke hosp kwabusalama zaidi ...ila asijaribu dawa za kienyeji..au OTC