Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukijenga wewe inatosha mkuu.
Sasa kila mtu akijenga wapangaji itakuwaje?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukijenga wewe inatosha mkuu.
Sasa kila mtu akijenga wapangaji itakuwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimemuelekeza waje waishi kwangu.Hamna kuua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unaweza ukawa na sababu nzuri ya kuua?
Mkuu Mimi nikushauri. Usijaribu kutoa mimba ila labda kama kwao na binti ni waçhuro bora ukimbiliye mbali then akizaa wewe tunza mtoto. Kutoa mimba ni hatari ña nusuWakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela.
Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu.
Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo tumepima kitoto kina mimba ya miezi mitatu.
Sasa naombeni dawa ya kutoa mimba, iwe ya kienyeji au ya kwenda kununua dukani.
Mimi na kitoto tumesha yamaliza tuitoe.
Maana siyo mimi au yeye anayekula chakula kikashuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine wewe ndio ungetolewa ..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ng'ombe weweeee
Naungana nawew misoprostol haishindwi...Usijaribu kutumia ya kienyeji utajuta ikigoma kutoka hapo chakukusaidia tumia vidonge vya Misoprostol inauezo wa kutoa mimba ya wiki kati ya 10-13
Ni uhakika na itakugarimu 70000/-
Pole mkuuNiliwahi kufanya upumbavu kama huo sasa hivi najuta, ningekuwa na mtoto wa miaka saba tena huenda angekuwa wa kike.
Na Mungu amenichapa mpaka saivi nazungusha p*mb tu sijapata mtoto tena.
Mlidhani nyie wagumba?Ni binti tayari naishi naye.
Isitoshe hata yeye hayuko tayari kuzaa.
sikuhiz "Miso" inazingua imepunguzwa nguvu na inafanyakaz vzuri kwa mtu ambae amewah kuzaa au kufanya abortion... Mimba ya kwanza tena ina miez 3 inakua king'ang'anizi kama luba, utaishia kulia na kugalagala ndan kama mtoto utapiga ukunga Millard Ayo na Gea waje kushuhudia...Misoprosto inagoma???
Ni binti tayari naishi naye.
Isitoshe hata yeye hayuko tayari kuzaa.
Ndio vizuri ausikilizie uchungu kama alivyokuwa akiusikilizia utamu.... Ni ushauri tu nimempa atumie miso ila sishauri wala sihusiki katika hayo mauaji! wanayopanga kuyatekeleza kwa kiumbe kisicho na hatia! Na walaaniwe!"Miso" ataumwa uchungu kama vile yupo "leba" kwa kibinti hicho nyumbani hapatakalika kwa kilio...kwa wamama nzao ya pili angalau wameishakuwa na uzoefu wa kuvumilia maumivu ya uchungu
Mliowahi kuchoropoa kumbe mpo wengi hivi! Mnavumilia vingi!Miso huwa inasumbua kutoa mimba hapo ajiandae kubleed mwezi mzima, na inauzwa buku tano tu ukiwa na connection
Usitoe hiyo mimba, jifanye kichwa ngumu uitoe uone kitakachokupata. Usijiingize kwenye mauji ya mtoto asiye na hatia.Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela.
Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu.
Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo tumepima kitoto kina mimba ya miezi mitatu.
Sasa naombeni dawa ya kutoa mimba, iwe ya kienyeji au ya kwenda kununua dukani.
Mimi na kitoto tumesha yamaliza tuitoe.
Maana siyo mimi au yeye anayekula chakula kikashuka.
Miso kwa wengine inagoma kbs nimeshuhudia hili kwa mtu naemfahamu.Naungana nawew misoprostol haishindwi...
Hata 10000 unapata...Usijaribu kutumia ya kienyeji utajuta ikigoma kutoka hapo chakukusaidia tumia vidonge vya Misoprostol inauezo wa kutoa mimba ya wiki kati ya 10-13
Ni uhakika na itakugarimu 70000/-