KiongoziOk bro vp na zile smoother zapatikana wapi zile za kuchaji zenye ubora achana na za kichinga? Nipo manyara mkuu
Unaogea Halafu Unapaka Povu LakeHii dawa inatumikaje?
Unaogea Halafu Unapaka Povu Lake
Itaondoa Huo Weusi
Asante sana mkuu ngoja nijaribu... nimeulizia hapa ni elfu nne. Lakini si ni ya uhakika mkuu? au ni sawa na kucheza biko?Dawa Siijui Ila Sasa Hiyo Sabuni Inaweza Kukusaidia Ukiitumia Muda Wa Week
Uhakika Yaani Huo Weusi UtakwishaAsante sana mkuu ngoja nijaribu... nimeulizia hapa ni elfu nne. Lakini si ni ya uhakika mkuu? au ni sawa na kucheza biko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu... nimeshainunua hapa ngoja niifanyie kazi!Uhakika Yaani Huo Weusi Utakwisha
Zinatofautia Bei Tu Sehemu Nyingine Ipo Chini
Nunua Tumia Uone Hali Ya Tatizo
Usiku Ukioga Paka Povu Hadi Asubuhi
Mkuu hapo sitakuwa najichubua?