Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
KiongoziOk bro vp na zile smoother zapatikana wapi zile za kuchaji zenye ubora achana na za kichinga? Nipo manyara mkuu
Hiyo Kwa Maeneo Yako Sina Hakika Ila Labda Ukipata Watu Wanaokwenda Dar es salaam Ni Rahisi Kuwaagiza. Changamoto Ya Ndevu Inategemea Na Mwili Wa Mtu
Kuna Wengine Wanatumia Wembe Poa Sana
Wengine Shida Sana