Msaada wa dawa ya ndevu

Msaada wa dawa ya ndevu

Ok bro vp na zile smoother zapatikana wapi zile za kuchaji zenye ubora achana na za kichinga? Nipo manyara mkuu
Kiongozi
Hiyo Kwa Maeneo Yako Sina Hakika Ila Labda Ukipata Watu Wanaokwenda Dar es salaam Ni Rahisi Kuwaagiza. Changamoto Ya Ndevu Inategemea Na Mwili Wa Mtu

Kuna Wengine Wanatumia Wembe Poa Sana
Wengine Shida Sana
 
Back
Top Bottom