Msaada wa dharura mtoto 2yr anajoto kali sana mwili mzima amechemka sana

Kumpaka Vitunguu swaumu mwilini mzima na kumpa panadol sikuwahi kujua kumbe jamiiforum ina member wasiojielewa kiasi hiki sasa wewe unashindwa kumpekeleka kituo cha kutolea huduma? Ujinga ni mzigo aisee 🚮🚮🚮
 
Cheki na hii 🚮🚮🚮
 
Kidonge Gani hiko?
 
Mkuu, Mwenzio kasema kumpaka mtoto vitunguu swaum.

Wewe umewambia upakaji wa vitunguu sio kitu kilichothibitishwa kitaalam.

Lakini hapo hapo, wewe umesema mtoto wa miaka 2 apewe pombe.

Hiyo imethibitika kitaalam?
 
Pole dada, mwanao atapona, Fika kituo cha Afya kilicho karibu na wewe.

Ukiona mwanao ana dalili ya homa, fika kituo cha Afya.

Mwanao atachomwa sindano ya kushusha Joto.
 
Cheki na hii 🚮🚮🚮
Haya mambo ya first aid nyie akina mama ndo mlipaswa muwe mnajua sababu kama wewe unashinda hapo home na watoto sisi wanaume tunaenda kuhangaika mfano sasa nipo ughaibuni. Siyo mnashinda mnapaka hinna tu na kusugua magaga.
 
Mkuu, Mwenzio kasema kumpaka mtoto vitunguu swaum.

Wewe umewambia upakaji wa vitunguu sio kitu kilichothibitishwa kitaalam.

Lakini hapo hapo, wewe umesema mtoto wa miaka 2 apewe pombe.

Hiyo imethibitika kitaalam?

Nimesema apewe pombe? Nioneshe maana nyie madogo kusoma na kuelewa siku hizi imekuwa shida mnawaza kucheza singeli tu na kubashiwa.
 
kwanini umpake vitunguu?
 
 
Yaani wewe ni mzazi mpumbavu sana....badala ya kumuwahisha mtoto kwenye huduma za afya chap chap wewe unashika simu unaomba ushauri huku mitandaoni......

Hii mitandao imewafanya watu kuwa majinga majinga Sana
Acha ujinga ww unauliza mtu Yuko wapi kwanza,Sasa mtu Niko vijijini usiku
Kumpaka
Vitunguu swaumu mwilini mzima na kumpa panadol sikuwahi kujua kumbe jamiiforum ina member wasiojielewa kiasi hiki sasa wewe unashindwa kumpekeleka kituo cha kutolea huduma? Ujinga ni mzigo aisee 🚮🚮🚮
Acha ufala,kwaiyo ulitaka apelekwe hospital bila kupata msaada waharaka,unajua mda huo mtu anaoomba msaada Yuko wapi na hospital Iko umbali Gani ..we akielekea hospital
 
Acha ujinga ww unauliza mtu Yuko wapi kwanza,Sasa mtu Niko vijijini usiku
Acha ufala,kwaiyo ulitaka apelekwe hospital bila kupata msaada waharaka,unajua mda huo mtu anaoomba msaada Yuko wapi na hospital Iko umbali Gani ..we akielekea hospital
Ina maana wewe kama mzazi hata huduma ya kwanza ya kumpa mtoto mwenye homa kali ili baadae uendelee na matibabu hujui mpaka uje uombe ushauri huku mitandaoni...!??
 
We hapo unajua Kila kitu?kuuliza pia nikujifunza nakupata maarifa
La hasha
Mimi sijui kila kitu lakini najitahidi kujua yale ya msingi ikiwamo kwenye dharula kama hizo za maradhi!!!

Ukiwa kama mzazi makini unatakiwa ujue baadhi ya mambo ya msingi hasa ya huduma za kwanza incase kukitokea dharula za maradhi...ni muhimu sana!!!
 
Msaada wa haraka ni kumvua nguo ,itamsaidia kushusha hilo joto.

Pia na hizo panado , hali ikiwa bado wahini hospitali usiku huu huu kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…